siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kwanini Chawa wengi siku hizi wanakula mihogo Coco Beach? Ni ugumu wa maisha au mihogo inaongeza uwezo wakujipendekeza?

    Wasanii wengi wasio na fruiful content wanakesha Coco beach kula mihogo. Akaunti zao utazitambua kwa picha na clips za kusifia hata pasipohitaji kusifia. Naamini mmiliki wa Chimbo la mihogo hana uwezo wa kiuchumi kuwalipa wasanii hawa kwa wingi wao. Ni aidha wanatumia jina lake kujibrand au...
  2. Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000...
  3. J

    JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

    Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
  4. Dkt. Biteko ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu, ataka Walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
  5. Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

    Kwema Wakuu! Sisi wengine ni Watu wa misifa, Watu wa mitandaoni, Watu wa kujionyesha, Watu wa kujimwambafai tukio kama la jana kwangu lingeniongezea Credit muhimu sana. Kutokuonekana inamaamisha sikuwepo ama? Kutokuonekana kwenye picha yoyote au video yoyote ya tukio inamaanisha sikuhudhuria...
  6. Salamu za Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani

    Salamu za Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Tax katika siku ya wanawake duniani.
  7. Mitandao ya Internet Imekuwa Mibovu siku za karibuni, vipi kwako?

    Mitando imekuwa na huduma mbovu ya Network sana, Mfano Vodacome now day inasumbua mnoo, kutuma sms, internet kuna mtu haifanyi kazi, Je, Ni kuwa imeelemewa sana wateja wameongezeka ikiwa hawajaongeza jitihada ya kuwamudu. Au tatizo liko wapi! Na tigo ndo kabisaaaa Hawatoi tamko lolote lile...
  8. S

    Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  9. Eti hii si shida kwa maisha ya kila siku?

    Mwanaume ni tallest na mwanamke ni shortest kwa hali ya kawaida hivi wataishi kwa furaha au watu watawashangaa kila daily? Pimbi na Zena .🤣🤣🤣🤣 nipo serious . Unakuta umefall in love na kitu kirefu nisaidieni kimawazo siitaji mzahaa nataka kupata jibu ni muhimu kwenu mkiwa serious.
  10. Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

    Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana. Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi. Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi. Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa...
  11. N

    Mwanamke muhimu sana anakubadilisha ndani ya masaa 24

    Binafsi niliachana na mpenzi wangu niliyeishi naye Kwa zaidi ya miaka mitatu na tuliachana baada ya mikwaruzano mwaka Jana June. Kiukweli maisha niliyoishi ni mabaya Sana bila mwanamke yaani ghetto Lili Kuwa full chafu utandu wa buibui mixer kukaribia kuunguza nyumba ya watu kwamba jiko LA gas...
  12. D

    Kwanini watu ambao hawajui chochote ndo hujiona wanajua. Au mtu mdhaifu siku zote haoni udhaifu wake?

    Natoa mfano Magufuli ambaye kiukweli kabisa alikuwa mweupe kiungozi, kiakili na kimaadili. Lakini Cha ajabu ndo alikuwa anajisema sema eti watu wengine hawafai wakati yeye ndo hafai. Nakumbuka Kuna wakati alikuwa natolea ufafanuzi wa CAG, akasema eti kama huwezi kumfukuza uliyemteua basi hufai...
  13. J

    JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  14. Tofauti ya siku ya Wanawake na Siku ya Mama duniani

    Kwa ufupi sana. Siku ya Kimataifa ya Wanawake inatambua mafanikio ya wanawake, bila kujali utaifa, kabila, dini, utamaduni, lugha, hali ya kiuchumi au mwelekeo wa kisiasa. Siku hii pia huongeza chachu katika harakati za mapambano katika usawa wa kijinsia kwa wanawake na wanaume katika jamii...
  15. Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

    Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970. Bila ya shaka yoyote kura yake ilikwenda kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Haiwezi kuwa vinginevyo. Bi...
  16. P

    Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  17. Maadhimisho ya siku ya Wanawake wilaya ya Mbogwe za tarehe 7/3/2024 bado takwimu za unyanyasaji wa kijinsia zipo juu

    Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50. Taarifa...
  18. Siku hizi ukizubaa tu getini kwako panageuzwa kijiwe cha bodaboda

    Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda. Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano. Kila kwenye shughuli za kijamii lazima kuna kijiwe cha bodaboda. Kama family ina trips nyingi za kutumia bodaboda, si ajabu bodaboda wakaweka...
  19. Barrick yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa mashine ya patient monitor Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

    Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao. --- Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
  20. Tamaa yangu siku zote ni mapenzi tu, nafurahi nimepewa vingi

    Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩 Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu. nikutonye. Maandiko yanasema hivi... hakuna aliyeacha wazazi, ndugu, nyumba, watoto kwa ajili ya (kazi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…