Mnaosema siku hizi hakuna kutongoza huwa mnatumia njia gani?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
UTANGULIZI
Najua kuna mtu atakuja hapa kusema kuwa "Asubuhi yote hii nawaza mapenzi? Kwani hili jukwaa limewekewa muda maalum?

Wee piga kazi tuache sisi tujadili mapenzi. Ukisha kuwa huru sasa njoo uchangie.

OKEY, TWENDE MADANI
Ndugu msomaji, rejea kichwa cha habari hapo juu

Baadhi ya wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wamebarikiwa wanasema kuwa zama hizi hakuna kutongoza. Na wengine wakafika mbali kabisa wakikuona unatongoza basi watakuja na kukuona bwege kweli kweli.

Wenzangu huwa mnatumia njia gani?

Waswahili walijisemea kuwa kuuliza si Ujinga. Sasa nami nimekuja kuwauliza ndugu zangu wale ambao wana mbinu m badala za kuweza kuwapata wanawake (Viburudisho).

Natanguliza shukrani

mzee wa kasumba
 
Ungejua zamani ilivyokuwa na sasa ilivyo wala usingeuliza hilo swali.

Siku hizi hakuna kutongoza mkuu wewe elewa hivyo tu,demu ukimchekea au ukimsalimia kwa bashasha tu unaenda kula mzigo wala hakuna kuleta longo longo nyingi.
 
Kuna bodaboda alikuwa anasimulia kuwa huwa wanasema tu " uje geto kunisaidia kufua nguo" binti akienda kweli basii ndio imeisha hiyo na anasema huwa hawakatai
 
Ungejua zamani ilivyokuwa na sasa ilivyo wala usingeuliza hilo swali.

Siku hizi hakuna kutongoza mkuu wewe elewa hivyo tu,demu ukimchekea au ukimsalimia kwa bashasha tu unaenda kula mzigo wala hakuna kuleta longo longo nyingi.
Kutongoza kumekuwa kwepesi tatizo mkono wa nyani nje nje
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom