siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki mwema ni yule akufaaye siku ya dhiki: Tuwaunge mkono Airtel na hii offer yao

    Binafsi sio mtumiaji wa Airtel Internet. Mara nyingi ukiona natumia bundle ya internet ya Airtel basi ni ile inayotokana na vifurushi vya kawaida vya Dakika + SMS + Internet ingawaje mara nyingi hii bundle huwa inapotea tu kwa sababu kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ama TTCL au Halotel. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya Katiba kiheshimiwe

    Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote. Leo hii...
  3. JamiiForums Tanzania Siku gani katika juma watu huamini ni siku yenye mikosi au nuksi?

    Hapo vipi! Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao. Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujamaa system bana, sasa ni marufuku kwa Watanzania kufanya "jogging" siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili

    Yaani tu basi.... ======= Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) katika siku za ibada kwa sababu wafanya mazoezi hao wamekuwa wakiwachelewesha waumini...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Ni marufuku kufanya maandamano au Jogging siku za Ibada Jumapili, Jumamosi na Ijumaa!

    Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo. Mambosasa amesema kuandamana siku...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19 Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
  7. JamiiForums Tanzania Jiulize siku ukifa masela watakuchimbia kaburi la futi ngapi?

    Kikawaida kaburi huwa futi sita kwenda chini. Ila Kuna watu wanaishi vibaya Sana na jamii yao kiasi ambacho masela huchimba hata futi 15 alimradi tu wakiamini asifufuke kabisa. Kufukiwa futi nyingi ni ishara ya kuchukiwa Sana na jamii yako. Sasa swali je wewe unaishi vema na watu?
  8. JamiiForums Tanzania Tulichofanya katika zama hizi za CORONA na COVID-19 ni sahihi leo, kesho na siku zote

  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zetu siku hizi wamekua wazungu wa bandia

    Habari za Leo wakubwa, poleni na mihangaiko jamani, Basi leo nimejikuta nawaza mbali sana baada ya kukutana na dada mmoja ana mikucha mirefu balaa mara pap nikakumbuka movie ya shumileta, walati nakumbuka picha ya msyuka ikanijia nikaogopa. Nadhani uliwahi angalia movie ya msyuka jinsi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wa siku hizi wako 'obsessed' sana na ufaulu wa Division One kwa watoto wao?

    Ukikutana na kila mzazi leo anataka shule inayofaulisha, wazazi wako busy kuulizia ufaulishaji wa shule. Juzi matokeo yalitoka kila mzazi ama mlezi anakata kujua shule hiyo division one ngapi, sijui nini. Swali langu, kwa nini wazazi ama walezi wameshikwa sana na ufaulu wa watoto, division...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufika Coco beach ilipaonaje?

    Mimi Dar mara ya kwanza nilifika wakati naanza chuo. Sasa toka zamani nimekuwa nikiisoma Coco beach. Yale magazeti ya Sani na Bongo yalinijengea picha kuwa Coco beach ni sehemu moja babkubwa sana. Walikuww wakichora watu wanogelea na maputo huku kwenye background kuna maghorofa tupu. Siku...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi siku hizi Mr. Paul

    Huyu mwamba Mkongwe Mr. Paul yuko wapi siku hizi na anafanya nini? Aliimba huu wimbo kwenye video yuko na demu wa kihindi nakuzimia na Zuwena remix.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

    Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi. Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
  15. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kuzaliwa Mh. Tundu Antipas Lissu

    Leo amezaliwa Mh. Tundu Lissu tuungane kumtakia maisha marefu, comment yeye atasoma Coment yako.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amepinda mgongo kila siku ili familia yake iwe na maisha bora ila leo kagundua mtoto sio wake

    ..... Nyuzi ifutwe ..... Please delete Moderator
  17. JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia rafiki yako ajirekebishe jambo fulani pasipo kuikwaza nafsi yake? Mfano kinywa chake hakipo katika hali nzuri siku hiyo

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote wa humu jamiiforums. Unawezaje kumwambia swahiba/rafiki yako ajirekebishe jambo fulani pasipo kuikwaza nafsi yake? Mfano kinywa chake hakipo katika hali nzuri siku hiyo. Sote tunajua ya kwamba watu wakishakuwa marafiki wa karibu walioshibana inakuwaga...
  18. JamiiForums Tanzania Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

    Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au hata usiku wa manane. Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani. Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa. Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

    Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo. Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu. Natambua kweli ile tunaita...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa siku moja kusikia Serikali inakusudia kuivunja EWURA

    Kwa mtazamo wangu,katika taasisi ambazo zimeundwa kwa sheria nzuri na bora, basi ni EWURA, na si ajabu hakuna taasisi nyingine yenye sheria nzuri kama EWURA kwa maana ya kuwa taasisi ya Serikali lakini ni vigumu kuiingilia na zaidi ni vigumu kwa watawala kuweka mtu wao kama Mkurugenzi Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…