siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Siku tukipata Katiba Mpya CCM itatawala kwa tabu na huenda ikang'olewa kabisa

    Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana. CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba. Mgombea binafsi atakuwepo na hapo ndio watakoma. Mafisadi wa CCM tutawadhibiti mithiri ya panya kwenye mtego wa kubana.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Huko Afghanistan Taliban siku si nyingi watatawala Afghan yote, na kwa mara nyingine Marekani imefeli tena

    ilifeli Vietnam, Iraq, na sasa Afghanistan Over 1,000 Afghan troops flee Taliban into Tajikistan More than 1,000 Afghan troops fled into neighbouring Tajikistan on Monday following clashes with the Taliban, as the insurgents amassed momentum on the battlefield. © ASSOCIATED PRESS Afghan...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata walau GB 10 za internet kwa siku kwa bei nafuu?

    N.B: NI KWAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA ELIMU NA TAALUMA. Si ajabu wengi wakiwemo hata viongozi wanadhani internet ni kwajili ya upuuzi tu maana wengi kwenye hutumia internet kufanya vitu visivyo na faida mfano kudiscuss umbea kwenye magrupu, kufanya umalaya, video za x, kuwa waraibu wa muvi...
  4. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu apinga kutumia siku 100 kumtathimini Rais

    Jenerali ulimwengu ambaye ni mwanahabari nguri amepinga vikali hatua ya kumpa Rais Samia Suluhu siku 100 za kumjadili. Amesema kwanza hatupaswi kutumia njia hiyo sababu ni njia ambayo wamarekani ndiyo wanaitumia kwa viongozi wao iweje na sisi tuige wakati hatuya simamii malengo yetu. Pia...
  5. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Nimedhulumiwa MilionI 10, siku ya Tano sasa sijapata Usingizi

    Niliungana na rafiki angu tukaunda timu na tukafanya project na kampuni ya wa Asia, project tuliifanya kwa muda wa miezi tisa. Na hapa kati hakukua na malipo ya ziada au ya kazi zaidi tu ya malipo ya vitu vinavyohitajika wakati wa Project hasa accomodations na transports tu. Huyu jamaa yangu ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kukumbushana kila siku kuwa Wazungu hawana cha bure

    Kila unapokutana na wazungu usisahau kujikumbusha na kuwakumbusha kuwa wazungu hawana kitu cha bure kwao "No free lunch" Kila mara utakapoona dili lao kwako ni zuri sana usiache kufikiria mara mbilimbili kabla ya kujiingiza.
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kufanya Julai 1, 2021 kuwa siku ya Katiba

    Nimesikia kuwa kesho ndo siku ya katiba. Sina hakika hasa ni akina nani ndo wameipanga ila nahisi ni akina mwafulani. Shughuli itafanyika hapo Segerea. Tundu Lissu atakuwa mtoa mada. Au labda mmoja wa watoa mada? Ni jambo zuri. Katiba mpya ni kitu muhimu kwa mustakabali taifa. It is long...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Baada ya siku 100, mama hataki kubalisha Tairi (katiba mpya) anasubiri tufike kwanza

  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1

    Tulifahamu tangu awali kwamba ccm ni ile ile , ila kuna tofauti kidogo kati ya viongozi wanaopewa Mamlaka na Chama hicho , kiongozi mwenye exposure hutofautiana kidogo uungwana na kiongozi wa kutoka porini , tofauti ipo ya namna ya kuhandle issues , kujua wapi aongee nini na wapi atishie watu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Siku 100 za rais Samia, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi, Vijiji 400 vimepata Umeme

    SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400 Na. Georgina Misama - MAELEZO Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi wa maeneno mbalimbali huku akitaja kuwa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mji wa Beni wawatangazia wakazi wake kubaki nyumbani kwa muda 'curfew' baada ya mabomu mawili kulipuka ndani ya siku moja

    Mamlaka katika Mji wa Beni zimetangaza utaratibu wa wakazi kubaki nyumbani katika muda utakaopangwa (curfew) baada ya mabomu mawili kulipuka Jumapili ya Juni 27, 2021. Bomu la kwanza lililipuka Kanisani na kujeruhi wawili na saa chache baadaye bomu la kujitoa muhanga lililipuka nje ya baa. Mji...
  14. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za tofauti ya Urais na Ufalme

    JULAI 24, 1933, Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Delano Roosevelt ‘FDR', alihutubia umma wa taifa lake na kueleza kipimo cha siku 100 tangu alipoingia madarakani. Siku 100 za FDR zilitimia Juni 11, 1933. Aliapishwa kuwa Rais, Machi 4, 1933. FDR aliingia ofisini akiikuta nchi ikiteswa na mdororo...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Katika siku 100 za Rais Samia wapinzani mmetendewa haki sasa tusisikie kelele

    Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

    Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7. Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi. Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

    Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake . Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku 100 za Rais Samia zitimie leo tarehe 27 badala ya 29/06/2021?

    Nimesikia katika vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa kuwa Rais Samia Suluhu ametimiza siku 100 madarakani leo 27/06/2021. Nachokumbuka huyu Rais Samia alikula kiapo cha kuwa Rais wa JMT tarehe 19/03/2021 na hivyo siku 100 ni keshokutwa 29/06/2021. Inakumbukwa Rais John Magufuli...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa. Tundu Lissu amesema...
  20. Tango73

    JamiiForums Tanzania 1976 siku kama ya leo ndege ya ufaransa yatekwa nyara athens ugiriki

    Ndege ya abilia ya ufaransa Air france ilitekwa nyara na magaidi wa kipalestina wakiongozwa na mjeruman Wilfried "Boni" Bose. na mwanamke Brigitte Kuhlmann, Ndege hiyo ilitua Benghazi na mwishowe Entebe. Subiri basi uone wiki ijayo(yaani baada ya siku sita za majadiliano) kitatokea nini...
Back
Top Bottom