Acha kudharau watu ipo siku utaviacha hivyo unavyo jidaiya

Kipunga

JF-Expert Member
Mar 8, 2021
262
573
MWENYENACHO:unanijua mim ni nani!

MIMI:nakujua wew ni marehem mtarajiwa

Screenshot_20210914-133505~2.png
 
Kuna watu wana dharau sana yaani wao wanajiweka nafasi ya muumba , ndiomaana akiona wanazidi anawala kichwa fasta MUNGU hadhihakiwi hata siku moja iwe kwa madaraka yako ama hela zako angalia mwendazake yuko wapi sasa kiburiiii mwishom wake uko wapi
 
we ninyime tuu hicho ni chakula cha mchwaa... dah haya maneno enzi hizo papuchi ikiwa na heshima vijana wa kiume waliyasema sanaa walipokuwa wakinyimwa
 
Hizo ni kauli za wasionavyo wanaoishi kwa imani sio kwa pesa wakihisi watumiaji aa pesa wana dharau muda wote.....adharau, asidharau wote njia ni moja. Kila mtu apambane tu na hali yake
 
Kuwa unavyoweza sababu kila utakachofanya ni lazima ukiache.
Acha uoga wa maisha na nakukumbusha "There's no nobility in poverty".
 
Back
Top Bottom