siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Video ya Mzungu huyu TZ Ina views wengi ndani ya siku moja kuliko royal tour

    Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ezekiel 25:17

    Ezekiel 25:17 (Dialogue) Lyrics [JULES] "The path of the righteous man is beset on all sides by the inequities of the selfish and the tyranny of evil men. Blessed is he who, in the name of charity and good will, shepherds the weak through the valley of darkness, for he is truly his brother's...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wafanyakazi Duniani: Hakuna kitu kigumu wakati bidii ipo

    China ina misemo mingi kuhusu bidii, kama vile "ipatikane kwa tamaa, ifanikiwe kwa bidii" "Maisha ni bidii, mtu hakosi akiwa na bidii" “taaluma katika bidii sio mchezo”n.k. Na miongoni mwao mstari wa shairi lililotungwa na hayati mwenyekiti Mao Zedong "hakuna chochote kigumu duniani, iwapo uko...
  4. JamiiForums Tanzania Siku hizi wake wanawaita waume zao "baba chanja", si "mume wangu" tena kama ilivyokuwa zamani

    Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake. Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu" Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja. Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    👉
  7. JamiiForums Tanzania WPFD 2022: Maadhimisho yaanza rasmi Nchini Tanzania. Ripoti ya Dunia yaonesha Uhuru wa Habari unazidi kuporomoka

    Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

    Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada. Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo. Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini. Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaipenda Siku ya Jumamosi wakiamini huwa na bahati Kwao, ila wakasahau kuwa tarehe 30 huwa si nzuri Kwao

    Na Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda Siku ya Jumamosi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Edward Hosea, constructive engagement uliyonayo itaua TLS. Serikali ikiwanyima fedha mtajiendesha vipi?

    Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini pamoja na vyote hivyo mtumishi huyu anashindwa kujenga japo nyumba huku asiye na kazi aliyepo Kijijini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, anajua kupika? Kwanini jibu gumu siku hizi?

    Kwa wale wanaotafuta wachumba wa kike swala la kujua kupika au kutokujua kupika limekuwa gumu sana siku hizi. Yaani imekuwa kama swali la kibinafsi ambalo ni vibaya kuuliza! Watasema amesoma, mtu wa dini….. kwenye kupika jibu ni gumu sana
  12. JamiiForums Tanzania Nini kimetokea polisi? Siku hizi wanawake wengi nao ni ma-RPC

    Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi. Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine. RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu waislamu Eid El Fitr itakuwa siku gani?

    Naombeni mnijuze maana hapa kuna mkanganyiko! Uzi tayari
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

    Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania. Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo. Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje...
  15. JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada, hivi kinachowaliza siku za harusi huwa ni nini?

    Unakuta haamini Kama kaolewa? Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku? Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo? Au Huwa nimaigizo? Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
  16. JamiiForums Tanzania Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

    Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi. Sababu gharama za harusiNni changamoto mno. Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza tololi Tsh 100,000, nipo Dar

    Hii tololi ni nzuri akipata eneo lenye mzunguuko mfano stand au sokoni Nauza laki tu Dsm ☎️ 0718909429
  18. JamiiForums Tanzania Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ipo siku atatokea kiongozi mzalendo hapa nchini atawafunga kamba mafisadi na kuwaminia risasi mchana kweupe

    Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…