Nini kimetokea polisi? Siku hizi wanawake wengi nao ni ma-RPC

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,490
Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.

Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.

RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine

Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?

Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
 
Keep on dreaming. You just wait.
 
Hilo la IGP wa kike lipo mlangoni, siku si nyingi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.

Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.

RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine

Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?

Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
Hivi Rais Mstaafu Mzee Mwinyi alipokuwa akisema kuwa anashangaa Wanawake kuwa Masikini wakati Uchumi mkubwa Wameukalia alikuwa na maana gani labda?
 
Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.

Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.

RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine

Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?

Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
Ni sawa kwa kuwa hizo nafasi ni hazina ugumu tofauti na post za wakuu wa upelelezi mikoa ambayo inaonekana Tanzania nzima hakuna mwanamke hata mmoja
 
Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.

Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.

RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine

Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?

Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi
Mkuu hii nimeiona hata kwa wakuu wa wilaya..hakika mama anaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom