Video ya Mzungu huyu TZ Ina views wengi ndani ya siku moja kuliko royal tour

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchi ya Tanzania kiutalii Duniani zaidi ya filamu aliyoicheza chief H.

Katika documentary yake inayohusu mambo mbalimbali ya utamaduni wa Tanzania, ameweza kupata views milioni moja ndani ya siku moja huku akiipiku Filamu ya royal tour iliyochezwa na Chief ambayo hata view laki mbili haijafikisha. Huku gharama zikivuka bilioni 11 za Kitanzania.

Sasa Hoja ni kwamba, Kwanini serikali hii ya CCM , isitumie watu Kama Hawa wanaweza kufika pahala pengi duniani kuliko kutumia watu wenye connection chache Kama peter.

Huyu Mzungu documentary yake ametengeneza kwa pesa yake mwenyewe , hajachangiwa na Tanzania foundation sijui Nininini Sasa watanzania mtafakari, naweka link ya documentary aliyoitengeneza na kupata views mil 1 ndani ya siku 1 inahusu tanzania.

Wachaga na nyie Mzungu kawatengenezea royal tour yenu.

Hiyo docu aliitengenezea Tanzania?
Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchini kiutalii zaidi ya filamu aliyoicheza chief.

Katika documentary yake kuhusu mambo mbalimbali ya utamaduni ya Tanzania ameweza kupata views milioni moja ndani ya siku moja huku akiipiku royal tour ambayo hata view laki mbili haijafikisha.
Kwanini serikali isitumie watu Kama Hawa na sio watu wenye connection chache Kama peter.

Huyu Mzungu documentary yake ametengeneza kwa pesa yake mwenyewe , hajachangiwa na Tanzania foundation sijui Nininini Sasa watanzania mtafakari, naweka link ya documentary aliyetengeneza na kupata views mil 1 ndani ya siku 1 inahusu tanzania

Waswahili Ni takataka kabisa.

Kwani Ni LAZIMA mzungumzie KILA KITU.

Mtoe MAONI kwenye KILA KITU.

Hata ambacho HAMKIJUI VIZURI??
 
Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchini kiutalii zaidi ya filamu aliyoicheza chief.

Katika documentary yake kuhusu mambo mbalimbali ya utamaduni ya Tanzania ameweza kupata views milioni moja ndani ya siku moja huku akiipiku royal tour ambayo hata view laki mbili haijafikisha.
Kwanini serikali isitumie watu Kama Hawa na sio watu wenye connection chache Kama peter.

Huyu Mzungu documentary yake ametengeneza kwa pesa yake mwenyewe , hajachangiwa na Tanzania foundation sijui Nininini Sasa watanzania mtafakari, naweka link ya documentary aliyetengeneza na kupata views mil 1 ndani ya siku 1 inahusu tanzania

Ni nzuri sana
 
Sasa mtu ana wafuasi milion nane na Samia ana wafuas wangapi mpaka iwe sawa tumia akili kufikiri.
 
Sony ni maarufu sana duniani kwenye upande wa food tour hiyo pia ime changia kupata likes kibao.
 
Nimesoma heading tu, mtu tayari ana followers wengi, means ameanza kujitengenezea Channel kwanza. Mbona hata Harmonize anafanya hivyo
Mkuu uwe unamalizaga kusoma uzi wote uelewe maana hili naona ni tatizo lako kubwa mara nyingi unasemaga hivhivi kuwa umeishia heading tu halafu unacomment out of topic!! Ungesoma hadi nwisho ungeelewa mleta mada anadhamiria kufikisha ujumbe gani
 
Back
Top Bottom