siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    TANESCO Morogoro kila siku umeme kukatika, kwanini?

    Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana. Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
  2. Analogia Malenga

    TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

    Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio, alibainisha hayo jana mkoani Dar es Salaam, akitafsiri kwamba ni hali inayoiweka nchi katika hali ya hatari endapo hatua zinazokwenda kuchukuliwa hazitafanikiwa. “Hivi karibuni kumekuwa na upandaji wa bei ya mafuta na hii inatishia usalama wa...
  3. Mung Chris

    TBC na aliye watuma kuleta story ya siku nyingi ya mstaafu kutapeliwa sio hekima

    Jana TBC wameleta story ya Mwalimu mstaafu kutapeliwa, hii story ya mafao ya huyu mama Kulipwa sio ya leo, kwanini msilete sotry ya hivi karibuni, yote haya mnayaleta kuhadaa watu kwamba wastaafu wanalipwa mafao yao na wanatapeliwa hili ameshalizungumzia Msemaji wa serikali mwezi jana tukamkosoa...
  4. M

    Hasa mliowahi kutembelea Israel tujuzeni: Je wakristo walioko Israel huabudu siku ipi? Jumapili au Jumamosi?

    Ningependa kufahamu mambo yafuatayo: Najua Israel kuna dini ya kiyahudi wanaoabudu Jumamosi. Lakini pia kuna wakristo wa kiyahudi walioamua kumwamini Yesu. Je hawa wakristo wa kiyahudi huabudu siku ipi kati ya jumapili na jumamosi?
  5. sky soldier

    Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

    Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano. Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
  6. M

    Watanzania tusiopenda Unafiki na Ng'ombe Kunenepeshwa Siku ya Mnada na kutaka Congo DR na Madagascar watufunge tujuane tafadhali

    Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya Taifa Stars na Alhamisi Tanzania ikishinda ni Sare ila Kufungwa ni kama Israeli na Roho ya Binadamu...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

    Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
  8. proxy

    Vitu ambavyo hupaswi kuvifanya kwenye maisha ya kila siku

    Hivi ni kaadhi ya vitu ambavyo hutakiwa kuvifanya kwenye maisha. 1) Kamwe usiruhusu heshima yako ishuke,kwa namna yeyote ile .Jiheshimu na hakikisha heshima yako inabaki kwa kiwango kile kile. 2) Usimdharau yeyote yule kwa sababu ya umbile , rangi yake, kabila, jinsia hata ulemavu wake. Maana...
  9. Ze Bulldozer

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

    === Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande...
  10. K

    Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
  11. Sky Eclat

    Maisha siku za awali ya Waingereza waliohamia Australia na New Guinea

    Baada ya Uingereza kutangaza Australia kuwa ni koloni lao, walianza kupelekwa wafungwa wa muda mrefu, waliohukumiwa kifo na wale waliofungwa kwenye jela zenye ulinzi mkali. Walipelekwa pia watoto yatima na wale waliokua chini ya uangalizi wa social system.
  12. eliakeem

    Mtumishi wa Umma wa Kwanza Aliyezaliwa Siku ya Uhuru Kustaafu Mwaka Huu Desemba

    Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika. Lakini sasa...
  13. S

    WANA-CHADEMA, iko siku tutagundua kosa letu lingine kubwa ni kukubali kujitetea mbele ya hizi mahakama

    Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa...
  14. beth

    Niger: Watu 69 wauawa katika shambulizo. Serikali yatangaza maombolezo ya siku mbili

    Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
  15. Political Jurist

    Philip Mangula afungua mafunzo ya Siku 3 kwa Makatibu wa wa Mikoa na Wilaya wa CCM Jijini Dodoma

    CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma. Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo...
  16. V

    Uzi kwa ajili ya kupeana ujuzi jinsi ya kujipatia kipato kila siku

    Kwema wana jukwaa mko njema Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm...
  17. Frumence M Kyauke

    Usingizi katika maisha yetu ya kila siku

    Unahitaji Usingizi Wa Saa Ngapi Kwa Siku? Faida Za Usingizi. Watu wengi wanakibanwa na ratiba ngumu za kazi au wakipatwa na tatizo la kukosa usingizi, huona kuwa kuendelea kuishi kwa kupunguza saa za kulala ndilo suluhisho. Ukweli ni kwamba kupunguza muda wa kulala hata kama ni kwa kiasi kidogo...
  18. Sky Eclat

    Siku kama ya leo 2, November 1755 alizaliwa Marie Antoinette Malkia wa mwisho wa Ufaransa

    Alizaliwa Vienna Austria na alikuja kuwa Malkia wa Ufaransa. Watu walipokusanyika kwa Mfalme kulalamika maisha ni magumu hawana hata mkate wa kula (mkate ni chakula kikuu sehemu nyingi za dunia). Aliwaambia kama hawana mkate waoke keki. Kauli hii iliamsha hasira zilizozaa Mapinduzi ya Ufaransa.
  19. M

    Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

    Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida. Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account...
  20. comte

    Siku zinaenda haraka sana

Back
Top Bottom