siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kukata umeme siku mbili mfululizo haikubaliki

    Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  3. JamiiForums Tanzania Meza ya wanaume: Ni baada ya muda gani kwenye mahusiano mapya unaingia peku?

    Na kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi. Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi...
  4. JamiiForums Tanzania Septemba 21, Siku ya Kimataifa ya Amani

    Kila ifikapo Septemba 21 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Amani (IDP), siku iliyotengwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwaajili ya kuimarisha Maadili ya Amani ikiwemo kusitisha Mapigano yote Duniani kwa angalau Saa 24 Kila Mtu anakumbushwa kuchukua hatua kwa Kutambua...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdhibiti wa hesabu za Serikali: Serikali inatumia Bilioni 3.16 za Kenya kulipa madeni kila siku

    "Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya deni. Msimamizi wa Bajeti, Bi. Margaret Nyakango, ambaye alijitokeza mbele ya Kamati ya Bajeti na...
  6. JamiiForums Tanzania Siku Matajiri walipokutana Dsm - Tanzania

    Novemba 19, 2019, Nchi tajiri duniani zilikutana mjini Dar es Salaam na mwenyeji wao Tanzania ambayo wakati huo ilikuwa tajiri pia....sijui imekuaje tena kwa sasa kila siku tunatembeza bakuli la kukopa? Au ndiyo yale ya kila tajiri ana mokopo? johnthebaptist Tumerudi kwenye umasikini? Kwa kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Unyama: George Sanga atimiza siku 1088 rumande kwa tuhuma ya Mauaji

    Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  9. JamiiForums Tanzania Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

    Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
  10. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, Septemba 15, 2023

    JamiiForums na Haki Mawasiliano wameshirikiana kuandaa mjadala katika kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. Kauli Mbiu katika mjadala huu ni “Kuwezesha Kizazi Kijacho”, ambapo Mada husika ni “Demokrasia ya Kidijitali kama Kichocheo cha Utawala Bora” Mjadala unafanyika kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Septemba 15, Maadhimisho Siku ya Kimataifa ya Demokrasia

    Siku ya Kimataifa ya Demokrasia huadhimishwa Septemba 15 kila mwaka kwa lengo la kuangazia hali ya Demokrasia duniani kote, Kuhimiza harakati za Kidemokrasia na Kukuza Uhuru, Amani na Haki za Binadamu Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 na kila mwaka tukio hili...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Aliniacha kwa nyodo na kuniita mbwa eti na mtu wake baada ya siku kadhaa akafariki

    Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa. Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
  13. JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi videvu vya siku hizi

    Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram.. Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi... Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣
  15. JamiiForums Tanzania Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

    Salam Wana JF, Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo. Hii taasisi imesababisha...
  16. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
  17. JamiiForums Tanzania Mkutano Maalum wa Vyama vya Siasa, Septemba 13, 2023

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini Katika Siku hii...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona taifa linapoteza hofu na Mungu ujue siku zinafika soon

    Siku hizi chache hapa jukwaani kumekua kuna rise threads nyingi zikihofia uwepo wa Mungu!, Binafsi nipende kutoa Onyo! Mungu akikasirika hii hii mitandao tunayo itumia kumdiss ataitumia kutuchapia nayo, na haki hamna atakae furahia kichapo hiki cha Mungu+ Si mnaona jinsi now mambo yanavyo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanahisa wa NPC KIUTA wafungiwa kiwandani kwa siku tatu, wagoma kutoka wakidai Kiwanda chao kinauzwa kitapeli

    Watumishi na Wanahisa waliofungiwa ndani ya Kiwanda cha NPC KIUTA kutokana na mgogoro unaoendelea. Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa au NPC National Printing Company Limited (KIUTA) ambacho kwa ufupi kunatambulika kwa jina la NPC KIUTA wanapitia wakati mgumu, baadhi yao wakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: TAMISEMI haipaswi kusimamia uchaguzi, haitotenda haki

    Fuatilia yanayojiri kwenye Siku ya pili ya Mkutano Maalumu wa vyama vya Siasa, leo Septemba 12, 2023. https://www.youtube.com/live/gluDmlaR35M?si=wM7TlyCrrBFbEHtg === ABDUL NONDO, ACT Mpaka leo msimamo wa Serikali ni kana kwamba uchaguzi wa Serikali za miktaa unakwenda kusimamiwa na TAMISEMI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…