Leo ni siku ya Nyoka duniani

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,942
2,251
Kama ulikuwa hufahamu:

Leo ni siku ya nyoka duniani: Siku hii maalumu inatumika katika kuongeza elimu juu ya Nyoka: Siku ya leo pia inatumia kutoa elimu na kuongeza upendo kwa nyoka na kuondoa mawazo hasi juu ya nyoka. Kumbuka

1. Duniani kote kuna aina takribani 3,500 ya nyoka duniani kote
2. katika aina hizo za nyoka ni takribani aina 200 tu ndio hatarishi kwa maisha ya binadamu
3. Black mamba ndio nyoka hatari kuliko wote duniani
4. Nyoka hana kope, analala akiwa macho wazi
5. Nyoka hawezi kutafuna bali anameza kitu kizima
6. Nyoka ana mifupa mingi takribani kuliko binadamu (300-400 na wengine mpaka 1200)

Jinsi ya kusheherekea sikukuu ya leo
1. Nenda zoo walipofungwa nyoka na kaangalie nyoka
2. Post kwenye account yako ya social media kuhusu habari nzuri za nyoka
 
Back
Top Bottom