siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

    Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni? Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
  2. Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

    Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa na wanayaongeza na Butter 'magarine' ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu...
  3. Maisha siku hizi yamekua vice-versa, no code, no honor. Ushahidi huu hapa

    Maisha ya siku hizi yanakera sana hasa kwa sisi tulozaliwa zamani kidogo, wengine mtaniita conservative lakini kiukweli mambo yakiendelea hivi dunia itakua ya hovyo sana in 10 years. No code, No honor. Yaani sikukuu kubwa kama Chrismas haina zile bashasha tulizozoea. Na sio ya mwaka huu tu,ni...
  4. Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  5. Huyu dada ni miongoni mwa walinzi wazuri duniani

    Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetu
  6. K

    Hivi mtu unafelije somo la hesabu? Zero brain kabisa wanafunzi wa siku hizi

    JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi...
  7. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume sio kwa wanaume tu siku hizi limehamia kwa wanawake

    Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume? Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kike. Binadamu na viumbe vingine vyote vinavyojamiiana, vumeumbwa na uwepo wa nguvu...
  8. Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

    Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini. Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa. Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy. Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse...
  9. Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

    Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka. Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali...
  10. Jokate Mwegelo: Siku hizi wazazi wanawaogopa Watoto

    Akizungumza na Wanahabari, leo Ijumaa Oktoba 27, 2023, Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) amesema viongozi bora wanatakiwa kutengenezwa kuanzia ngazi ya chini. Amesema “Hatuwezi kuwa na viongozi bora bila kutengenezwa, viongozi bora wanatoka kwenye familia, wanatoka...
  11. L

    Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

    Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha. Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect way, tofauti yao na wale wa Ubungo...
  12. Wale watoto wa siku hizi haya mambo mnayasikia tu.

    Zamani tulikuwa tunakula kwa pamoja,hii ilisaidia kuondoa tabia ya uchoyo,ilijenga uhusiano,na ilimwondolea uvivu wa kula mtoto.Lakini wazazi wengi sasa watoto wao wanakula Kila mmoja peke yake,kwakweli wanamic hayo niliyosema.tazama video hapa na picha.
  13. Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
  14. Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
  15. Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  16. B

    Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  17. Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  18. Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

    Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
  19. Hivi videvu vya siku hizi

    Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram.. Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi... Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣
  20. Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

    Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana. Yani ni mayai sijui mnajimwagia.. Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa? Hivi nyie wanawake mbona hamna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…