siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania MCHEZO MPYA WA MADEMU WA SIKU HIZI VIPI UMEUSOMA?

    Tawire tawire Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi yamekuwa “Trial Version”?

    Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano? Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu anaanza kupotea kimya kimya. Hakuna ugomvi mkubwa, hakuna drama hata… unaona tu mawasiliano...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Abdul yuko wapi siku hizi?

    Ni muda mrefu huyu kijana hajaonekana au kusikika, nini kimempata? Au ameshamaliza kazi yake?
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada siku hizi wameacha kuva adirizi

    Kwa wale wazungu adirizi ni skin tight. Vp secretarybird Chizi Maarifa Holoholo-Baba Kijacho mademu zenu wanava adrizi😁
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo shuleni nilifundishwa kuwa.. kumbe siku hizi ni vitu tofauti!?

    PUSSY ilikuwa ni CAT/PAKA SEX ilimaanisha GENDER/JINSIA BITCH ilikuwa FEMALE DOG/MBWA JIKE DICK ilikuwa ni NAME/JINA BANG ilikuwa SOUND/KISHINDO CHA SAUTI RUBBER ilikuwa ERASER/KIFUTIO ASS alikuwa ANIMAL/MNYAMA PUNDA SCREW ilikuwa TOOL/ZANA HEAD ilimaanisha PART OF BODY/SEHEMU YA MWILI BALLS...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mbona siku hizi serikali haipewi gawio kama kipindi cha JPM

    Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
  7. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  8. Vien

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

    Kuna jambo nimekuwa nikiliangalia sana kwenye mahusiano ya siku hizi. Dunia imebadilika, na hata namna ya kuanzisha mahusiano imebadilika. Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa kutongoza. Mwanaume alikuwa anakaa chini, anatafuta maneno mazuri, anahangaika kweli kweli mpaka mwanamke aelewe kuwa...
  9. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  10. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hawa mbu wa siku hizi ni Toleo Jipya au ni walewale wa zamani?

    Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
  11. X

    JamiiForums Tanzania Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

    Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives. Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa ndoa, kupoteza kazi, biashara kuyumba au kufirisika, ugonjwa wa kudumu, kufiwa na beloved ones n.k...
  12. Farolito

    JamiiForums Tanzania Mbona vipepeo wameadimika sana siku hizi? nitumie njia gani kuwavutia au kuwafugia shambani?

    Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

    Habarini, Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Siku hizi mambo ni tofauti kabisa

    Zamani hili vazi lilikuwa na heshima ila kwa sasa ndilo linaweka mambo hadharani tofauti na suruali
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno na slangs ambayo yanafifia siku hizi

    SHEGA KULALEKI BOMBA MILUPO MIKASI UMEME (UKIMWI) SLIMU (UKIMWI) DENTI DUXI DU NGINGA NGINGA MZEE MWENZANGU ... ongezea na mingine tukumbushane...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

    Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Polisi wamekuwa na mamlaka makubwa,Yani siku hizi wakikukamata upelekwi mahakamani unaenda jela

    Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi. Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...
  18. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Kwanini mapolisi wanakufa sana siku hizi?

    Hivi karibuni matukio ya mapolisi kufariki yamekuwa mengi sana tanzania. Sijui kama na nyie mmegundua au nimeona peke yangu tu. Yaani ukiingia mtandao wowote ule iwe instagram, x zamani twitter au hata facebook ndani ya dakika mbili lazima ukutane na post ya msiba wa aliyekuwa askari polisi au...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi chapati zimeshuka hadhi si kama zamani

    Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka hadhi kila mahali zapatikana. Dar hadi kwenye vituo vya dalalada zinapikwa, sijui kama watu bado...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna anayezungumzia Kuhusu Chadema.

    Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
Back
Top Bottom