Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani
Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea
Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
Utasikia kaugua ghafla, mara alipata mshituko akiwa kazini, mara kaanguka akiwa bafuni, mara alichelewa kumeza dawa zake za kisukari, etc
ukiuliza umri unakuta wengi ni between 55-65.
MORE LIFE.
Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi.
Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema.
Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
Hili suala kusema ukweli linatokea si kwangu tu bali karibia kwa kila mwanamke analalamika "KUTOKOJOZWA"
Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?
Wanawake mnatuacha na hamu vitandani au mnataka nani atumalizie hamu zetu.
Wanaume wa siku hizi hamjui...
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.
Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake.
Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond.
TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya?
Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na hotpots kabisa!
Injinia wafanyie wepesi watu wako angalau mkiifunga Azam wanywe supu zile ambazo semaji...
Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔
Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu?
Kuna...
Habari wadau.
Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori.
Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia.
kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo.
Moja ya changamoto zinazoonekana ni uwepo spea feki na ukihusisha na uwepo wa mafundi wasio na weredi kazi hua haifanyiki kwa ufasaha...
Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja.
Ukifuatilia utagundua mtoto amebeba mzigo wa madaftari ya masomo yote (masomo ya wiki nzima). Daftari la somo la ijumaa...
Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano.
Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF.
Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin.
Ila mpaka...
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu.
Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.