siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kujitolea JKT Siku Hizi Ni Hekima ya Mpumbafu

    (Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic) MWENDAWAZIMU: Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao. Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?” Sikiliza basi. Sijasema...
  2. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Machawa wa kuita press mko wapi siku hizi?

    Steve nyenyenyee, mbasho, mwinja yule dogo rais wa vyuo tume miss zile press zenu hasa steve,,, tupe ata press moja tivu akeee....
  3. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi siku hizi Aggrey Marealle?

    Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mademu wamekua cheap sana siku hizi.

    Yani imefikia point mtu anaforce mwenyewe kukuletea mzigo. Noma sana hii.
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

    Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani. Miaka imepita, sijamsikia. Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani? RIP...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya NHIF siku hizi haina maana kabisa

    Yaani nchi yetu imekuwa ya ajabu mno siku hizi. Kila mwezi wanakata malaki ya hela kutoka kwenye mishahara ya watu kwa ajili ya bima ya Afya ya NHIF. Lakini ukienda hospitali kwa ajili ya huduma ya afya kama vile uzazi hospitali zinataka ulipie gharama za uzazi. Hili jambo halikuwepo zamani...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji pesa siku hizi unafanyika hadharani mbele ya vyombo vya habari

    Hii harambe ya CCM kuna harufu ya utakatishaji fedha TAKUKURU wafanye kazi yao
  13. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  14. John Sin

    JamiiForums Tanzania Zamani ukitaka mchumba lazima utongoze lakini siku hizi ukimuita "MY" tu tayari

    Hii nimetoa FB, je Kuna ukweli? My wangu haszu
  15. E

    JamiiForums Tanzania Wajuzi saidia hapa Increment inaongezwa kwa utaratibu upi siku hizi!?

    Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
  16. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Ni harufu ya kawaida au matatizo mengi siku hizi

    Wakuu nimejitahid sana kupiga mali hasa za chuo kutokana nipo kweny mradi kweny chuo kimoja dsm ila harufu nazokutana nazo ni hatari au ni kwamba ile K lazima iwe na harufu? Nipen experience yenu mlioa jmn yaan nikiichap harufu ni jau hadi nataman badilisha mashuka
  17. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  18. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Siku hizi tumeamua kukinunua kifo kwa gharama zetu wenyewe

    Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae kidogo au ata kesho Lakini je hivi vifo vingine vinavyotokea katika jamii haviwezi kudhibitiwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  20. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

    Mpo poa? Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote. Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu, halafu asubuhi...
Back
Top Bottom