Siku hizi sina hamu ya kutongoza wanawake kabisa, kuna wanaume humu ambao washapitia hii stage?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo yote niliofanya hapo juu, zaidi ya kujiweka kwenye risk ya kupata Ukimwi.

Cha kushangaza naona kuna wanaume wengine wana miaka 36, hadi 70 wanatongoza ovyo na Kufanya ngono hovyo na wadada tofauti, kama vile wamebalehe jana.

Mimi ni Mwanaume 100% straight, rijali, kiafya niko fresh, ila sahivi love interest na wanawake sina kabisaa, kununua makahaba nimeacha zamani, Sahivi mpaka nimtongoze mdada ni mpaka awe amenivutia sana vinginevyo nampotezea, hata akija ghetto akikaa uchi mbele yangu au akijitongozesha namkataa tu.

Hili ni badiliko la tabia? Au nayo ni steji tu
 
For me dating requires a lot of energy. Kwanza kuanza kumjua mtu na kujua anapendelea nini, hapendelei nini, yukoje, mawazo yake, ndoto zake nk; ni kazi sana. Hichi kipengele kinakatisha tamaa kuanza kujenga mahusiano na mtu mpya tena pale unapokuwa umepitia haya yote na mtu na bado mkaachana. .

I sometimes keep on fixing old relationship, rather than starting new ones. I am a very complicated individual to have someone keep up with my charms not so easy. Hakuna kitu kitamu kama penzi jipya mda mwingine furahia maisha mambo mengine tuwaachie ma lover boy wa JF wanaotongoza wanaume inbox 🤣

Tutafute hela tusiwe tunatumwa na watoto wadogo, peace. .
 
Mm ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nlikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nlipima hiv Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo yote niliofanya hapo juu, zaidi ya kujiweka kwenye risk ya kupata ukimwi.

Cha kushangaza naona kuna wanaume wengine wana miaka 36, hadi 70 wanatongoza ovyo na Kufanya ngono hovyo na wadada tofauti, kama vile wamebalehe jana.

Mm ni Mwanaume 100% straight, rijali, kiafya niko fresh, ila sahiv love interest na wanawake sina kabisaa, kununua makahaba nimeacha zamani, Sahivi mpaka nimtongoze mdada ni mpaka awe amenivutia sana vinginevyo nampotezea, ata akija ghetto akikaa uchi mbele yangu au akijitongozesha namkataa tu.

Hili ni badiliko la tabia? Au nayo ni steji tu
Mi kipindi nipo chuo nilikuwa mvivu wa kutumia muda mwingi kumbembeleza demu wa chuo na iyo ilitokana na tabia ya kula machangu ,na mademu wa mtaani wasio wanachuo na iyo experience ya kulalq na kila aina ya demu ilinifanya kuwaona wasichana watu wa kawaida sana na imenifanya niwe kama wewe mkuu,

Kutongoza tongoza ovyo izo ni tabia za vijana wadogo wanaobalehe na wasio na experience ya kula sample tofauti tofauti, mi nimekula single mothers,

Machangu hadi mbibi 😀😀na nimekuja kuona kutia tia ovyo mwisho magonjwa tu , maana nishakumbana na mikasa kibao hapo nyuma kama UTI , GONO ,
 
Sisi maplayboy sio kwamba tunapenda sema homone za kiume zimezidi kila saa unatamani kupeleka moto tu
 
For me dating requires a lot of energy. Kwanza kuanza kumjua mtu na kujua anapendelea nini, hapendelei nini, yukoje, mawazo yake, ndoto zake nk; ni kazi sana. Hichi kipengele kinakatisha tamaa kuanza kujenga mahusiano na mtu mpya tena pale unapokuwa umepitia haya yote na mtu na bado mkaachana. .

I sometimes keep on fixing old relationship, rather than starting new ones. I am a very complicated individual to have someone keep up with my charms not so easy. Hakuna kitu kitamu kama penzi jipya mda mwingine furahia maisha mambo mengine tuwaachie ma lover boy wa JF wanaotongoza wanaume inbox

Tutafute hela tusiwe tunatumwa na watoto wadogo, peace. .
 
Mi sinaga muda wa kutongoza, akitokea aliyevutiwa ataniambia mwenyewe.

kutongoza ni kujifedhehesha.
Mbona Ke wengi sana siku hizi ndiyo hututongoza sisi Me, tena mi huwa napambana nao kuishinda tamaa ili nisichepuke, au ninyi wenzangu mnaishi dunia ipi?
 
Injini ikitumika sana huwa inapungua uwezo wa kupanda mlima na huanza kutumia mafuta kwa wingi, kuchemsha na kuvujisha oil. Nafikiri naeleweka
 
Huo muda wa kubembeleza mtu na kumsimulia sifa za uongo mwanaume unayetafuta hela kwa bidii unautoa wapi,demu anaitwa geto au sehemu utayo ona inafaa haeleweki unafuta namba unaendelea na mambo yako kikubwa tafuta hela kwa bidii.
 
Back
Top Bottom