siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TATACHACHA

    JamiiForums Tanzania Wanaomuelewa Young Killer anaimba nini siku hizi, mbona kama simuelewi? Ameshindwa kuisoma gemu na kunyumbulika nayo

    Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hawa madada zetu siku hizi kama wanakwesa makambo, nampigania sana dada asiachwe kwenye ndoa yake

    Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani. Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala...
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa siku hizi hamuwaheshimu wakwe zenu kabisa!

    Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana! Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅 nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa Kenya (elewa vizuri) baba mkwe anamzalisha mke wa mwanae ili ukoo usipotee😂😂
  5. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

    Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy.... Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia...
  6. Makari hodari

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi siku hizi hujifanya ni usalama wa taifa, askari au wanajeshi?

    Habari za leo wanajamvi! Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu. Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Siku hizi 'Visitors Gallery' ya Bunge la Tanzania 'wanaalikwa' tu 'Watu' wa 'ovyo ovyo' Kifikra na Kiushawishi?

    Ipo Siku mtakuja Kuwaalika hata Wemdawazimu hapo kama hamtokuwa makini. Nimejaribu kuchunguza Wageni wanaoalikwa katika Mabunge ya Kenya Rwanda na Uganda na Kugundua Watu wanaoalikwa hapo si tu wamefanya nini ila je, wana Akili Vichwani mwao na wana Tija ya Kimaendeleo kwa Maisha ya Vizazi...
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Zaheera; Shaban Djuma Kiwango Kimeshuka na Amekua Bonge Sana Siku Hizi

    🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili sana hawezi kugusa mpira hata mara moja.” - Mwinyi Zahera akizungumzia mlinzi wa kulia wa Yanga SC...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  11. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

    Ya kwa Mpiga Busu matata Msumbiji baada ya kutoka kupanda Dala Dala kwa Marehemu Mkoloni Wetu na hata ya sasa ya kwa Mwarabu wa Dubai ni mfano Hai wa ninachokiuliza.
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya siku hizi yanafananaje?

    Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo. Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi. Hivi katika dunia ya...
  14. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania EFM Sport HQ ni Kipindi cha Hovya Siku Hizi

    Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi...
  15. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanatendwa na michepuko kuwaharibia ndoa zao, tuwasaidie

    Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini...
  16. Superfly

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Gynaecologists' mlioko hapa JamiiForums hili tatizo la 'Tamu' nyingi Siku hizi Kutema sana inatokana na nini?

    Na hili tatizo la Tamu nyingi Kutema limeanza hasa hasa miaka hii ya karibuni ila Tamu za miaka ya kuanzia 1999 kurudi nyuma ilikuwa ni Nadra kuzikita "zikitema' ila za kuanzia miaka ya 2000 hata kabla hujazila tayari zinakukaribisha kwa 'Kutema' Kwake. Hebu tusaidieni tafadhali ili litatulike.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ma binti wa siku hizi hawana adabu kabisa ewe mzazi makinika nao

    '....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.' Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi. Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau...
  20. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

    Kila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
Back
Top Bottom