mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,037
- 35,903
Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.
Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara, nafahamu mashehe kadhaa wanaovuta sigara, wanajitetea kuwa hakuna kifungu kwenye bible wala msahafu unaokataza sigara
Ni kweli hakuna lakini kwangu sigara ni dhambi mpya iliyosahulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu. Itafutwe bamna ichomekwe kwenye hivi vitabu vitakatifu
Kitu chochote kilichokatazwa kwenye vitabu vitakatifu kuanzia nguruwe, ngono, kambale, kumbikumbi, kunguru, ufiraji, wizi, uongo, usengenyaji, pombe nk vina mashara kiafya.