Ni wapi naweza kupata sigara nikauze jumla? Nipo Dar

mtaji ulio nao ni mdogo sanaMkuu. mtaji wa kuuza sigara za jumla angalau uwe na 100M. IM ni mtaji wa sigara za Rejareja Embasy ile Bomba moja tu ni 45,000 katoni 40M. kama unataka za kununua jumla uuze rejareja sawa wacheki wale watu wa TCC. Pia kuna namna ya kufanya uanpewa uwakala unakuwa unasambaza maduka ya mtaano kwako. Kama ni mwmainifu unapewa kwa mkopo. Ukihitaji maelezo zaidi uliza nakujibu hapa hapa
 
uza fegi mzeee....wavutaji tukupromotii
🤣🤣🤣🤣 nimecheka kwa uchungu , nilikua nasikia tu sigara zina madhara ,sigara zina madhara najibu kwa kebehi, " mbona babu kavuta na kafa na miaka 103 " madhara ya sigara yanategemea ukoo bwanaeeee hiyo siku nilianza kukohoa kama mbuzi wa albadiri mara tumbo linajaa migesi kama mbuzi mwenye pacha akili ikakaa sawa
 
Ngoja waje wajuzi wa mambo hapa wakuambie ila si vyepesi kama unavyofikilia kwenda tu kiwandani kununua sigara na pesa uliyonayo ni ndogo sana
Ajiulize kwa nn gari au duka linalouza sigara jumla linalindwa halafu yy anasema ana mil moja anataka kwenda kwa deport au factory
 
mtaji ulio nao ni mdogo sanaMkuu. mtaji wa kuuza sigara za jumla angalau uwe na 100M. IM ni mtaji wa sigara za Rejareja Embasy ile Bomba moja tu ni 45,000 katoni 40M. kama unataka za kununua jumla uuze rejareja sawa wacheki wale watu wa TCC. Pia kuna namna ya kufanya uanpewa uwakala unakuwa unasambaza maduka ya mtaano kwako. Kama ni mwmainifu unapewa kwa mkopo. Ukihitaji maelezo zaidi uliza nakujibu hapa ha
Mkuu hiyo Bomba Moja ya 45,000 inakuwa na pakti ngapi?Vipi kuhusu katoni? Kwa kampuni zingine mfano masters Bei ikoje inaonekana unajua vitu naomba kujibiwa
 
mtaji ulio nao ni mdogo sanaMkuu. mtaji wa kuuza sigara za jumla angalau uwe na 100M. IM ni mtaji wa sigara za Rejareja Embasy ile Bomba moja tu ni 45,000 katoni 40M. kama unataka za kununua jumla uuze rejareja sawa wacheki wale watu wa TCC. Pia kuna namna ya kufanya uanpewa uwakala unakuwa unasambaza maduka ya mtaano kwako. Kama ni mwmainifu unapewa kwa mkopo. Ukihitaji maelezo zaidi uliza nakujibu hapa hapa
tupe madini hayo nipo iringa nahitaji kufanya hii biashara
 
Bro hongera sana embu toa mchanganuo wa huo mtaji wa 100ml na pia inaweza kutoa kwa faida ya kiasi gan?mtu akijalibu kuwekeza labda
 
marekebisho Mkuu sio 100M sasa wanaangalia 10m-15 m kuna tofauti ya mawakala, wholesaler na dealers hivyo mtaji wao ni tofauti kidogo samahani maana mwanzoni niliandika kwa makosa ila utaratibu ndio huo. lazima uwe na leseni ya biashara, kibali, TIN NUMBER, frem na taarifa zako za kifedha za benk yaan bank statement. Kuhusu faida ni Kubwa sana kama utakuwa unapata sehemu nzuri ya kuuzia yenye mzunguko wa watu wengi. KARI BU
 
Back
Top Bottom