Uvutaji wa Sigara husaidia kulainisha choo kwa wenye tatizo la kupata choo kigumu

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
AdobeStock_419113924-scaled.jpeg

Hii bhana huwa inasaidia sana baada ya kula au kushiba sanaa ukitumia sigara basi muda huo huo utaanza kuhitaji kutumia maliato kwa haraka sanaa. Nani mwingine amegundua hili
 
Skunk weed inatabia hiyo, ila sio hapo hapo. Na choo chake huwa very offensive.
Ndani ya bangi/sigara kuna kemikali za nicotine/cannabine n.k. ambazo utolewaji wake ni kama dawa inavyotolewa ktk mwili, kwa maana kuna kiwango kitakolewa kwa njia ya jasho, mkojo, kupumua na kiasi chingine kwa njia ya haja kubwa.
 
Mara zote ambazo nimekuwa nikisumbuliwa na kupata choo, nimekuwa nikishauriwa kuvuta sigara ili kupambana na hali hiyo.

Jana nikiwa na mshikaji wangu Kanjunju ofisini, akaniambia ana shida ya kupata choo hivyo akaenda kwa mangi kuvuta sigara, akadai kuwa njia hii imekuwa ikimsaidia kusukuma na kupata choo kilaini.

Kabla sijaanza kuitumia sigara kama tiba, napenda kujua ukweli. Sipendi kuwa mhanga upotoshwaji wa tiba.
 
Back
Top Bottom