Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
1,319
Reaction score
2,503
Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri.

Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa.

Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma tu kutokuwa na muongozo mzuri kipindi hicho.

Baada ya miaka zaidi ya 7 nikipiga mishe zangu, nikaamua nikasome kitu napenda, nikasoma Post Graduate Diploma ya Mass communication (GPA 4.8)

Je nikisoma masters na nikafaulu vizuri, naweza kuwa assistant lecturer kwenye vyuo vikuu nchini?

Je PGD itafunika udhaifu wa undergraduate? Au yanipasa nianze bachelor degree upya?

Naombeni ushauri wenye uelewa na uzoefu.

NB: usianze Ushauri wa achana kusoma na kuajiriwa katafute pesa, nisiwe muongo, nina vibiashara vinaendesha maisha vizuri, hapa naongelea kufukuzia passion, ile kitu roho inapenda.

Asante
 
Haiwezekani. Hata postgraduate na masters na PhD upate gpa za 5. Kama undergraduate ulizingua hukufikisha walau 3.8 ndio basi tena.

Mimi nikipambana udsm hapo nikaishia 3.5 ndoto zikafa. Ungekuwa walau na 3.5 and above ungepambana kwenye hivi vyuo vya kati mfano ifm cbe tia etc ungeweza kupata .
Lakini wewe una lower second class nikitu ambacho hakiwezekani kabisa
 
Ukweli mchungu sana huo!
 
Aisee kiukweli inaumiza sana.

Kinachoniumiza ni kwamba wakati naenda undergraduate miaka hiyo, niliomba mass comm udsm, ila nikashawishiwa na familia nibadili, kwaio nikachaguliwa kozi nisiyoipenda nikaamua kupiga tu ilimradi tu nimalize, sikuweka juhudi kabisa.

Anyway makosa yalikua yangu kutosimamia ndoto.
 
Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2)
Nimeishia hapa. Haitowezekana kuwa Assistant lecturer. Pia kozi ni kachumbari inakua ngumu kuona somo gani utafundisha.

Ingekua walau umesoma kitu hiko hiko bachelors na masters basi ushauri ungekua usome PhD walau unaweza pewa kozi za diploma huko
 
Another guy scored 4.2 from sokoine (bachelor), went to work manually in the US.....3.2 to be a lecture!!! Too low
 
Ukifanikiwa kisha ukawa unaandika kwa kutoa machapisho, vitabu, tafiti n.k utakula mema ya dunia, utapata mialiko kwenye vyuo vikuu mbalimbali huko duniani. Muhimu tu usiingie kwenye siasa tu.​
Ni kweli kabisa, kuna jamaa nadhani ni Dokta sahivi, kila iitwapo leo alikua anapambana kuandika andika machapiso.
 
Back
Top Bottom