sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, pamoja na sifa unazomwangia Jumaa Aweso, huyu siyo mwaminifu

    Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii. Ifikie hatua miradi yote inayotangazwa, kama haifanyi inavyotakiwa, wahusika wote wafukuzwe kazi. Aweso...
  2. JamiiForums Tanzania CCM msiongeze chumvi kwenye sifa za Rais Samia

    Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka. Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi haina tatizo hata moja. Tumpongeze anapofanya vizuri, tumkumbushe ambapo hapajakamilika, tupinge...
  3. JamiiForums Tanzania Mimea sita yenye sifa za kushangaza zaidi duniani

    Mimea sita yenye sifa za kushangaza zaidi duniani 21 Machi 2018 Imeboreshwa 20 Disemba 2020 Chanzo cha picha, AFP/Getty Maelezo ya picha: Mmea huu hutoa harufu ya mzoga Duniani huwa kuna mimea ya aina nyingi, lakini kunayo baadhi ambayo inashangaza kwa sifa zake za kipekee. Hapa, tutaangazia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chama cha Mapinduzi chaguzi zake za ndani sifa kuu ya mgombea ni fedha?

    Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee ni yakweli au ulikuwa unafiki wa kisiasa. Kama alikuwa muasisi wa Tanu na CCM na alikemea rushwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa Manula kupewa sifa zake

    Ni miongoni mwa magolikipa bora kuwahi kutokea Simba na Tanzania! Ikumbukwe toka zama na zama, Simba imekuwa ikipata magolikipa hodari sana, tangu enzi za akina Athumani Mambosasa, Hamisi Kinye, Mwameja, Steven Nemes, Juma Kaseja, na sasa ni zama za Aishi Manula! Achana na rekodi zake lukuki...
  6. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sifa ya Division 4 na 0 kujiunga na Jeshi: Je, ni mkakati wa kuwabeba ndugu/watoto wa vigogo waliofeli?

    Naiweka kama "Hypothesis" kuwa: Akina Simbachawene and Co. Ltd, (VIGOGO) wana ngudu zao kibao ni failure wa form 4 na 6 ambao Ni Div ZERO NA 4. Sasa kuwapa ajira, sifa ni div 0 na 4. Sifa hizo zitawakumba ndugu zake, watoto wa marafiki na marafiki wao wote.
  8. JamiiForums Tanzania Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  9. JamiiForums Tanzania Tuna watu wasio na sifa ya kuongoza

    Tuna viongozi wasio na sifa ya kuongoza WEDNESDAY SEPTEMBER 29 2021 Summary Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni katika siasa au serikalini, njaa yetu ya kupata viongozi bora ni kubwa sana By Mwandishi Wetu More by this Author Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

    Habari. Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani. Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana. Aweze kuishi kirafiki kabisa, Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu. Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na...
  11. JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Unyonge ni ujinga sio sifa

    Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa! Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa...
  12. JamiiForums Tanzania DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

    Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃 Kuna muda mpaka unatamani ubebe...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi halina mbinu, limepoteza sifa ya kuitwa Polisi

    Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu limeishiwa mbinu za kufanya kazi kiuweledi wanalolijua ni kuwakamata wafuasi wa vyama vya siasa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ni simu gani yenye sifa hizi?

    Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri. - preferably those with video stabilizer (stabilization) Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc. Sorry, iphone is not my preferred brand. Your help pls.
  16. JamiiForums Tanzania Sifa 7 za mwanamke mpambanaji

    Dunia ingekuwa wapi leo bila mwanamke? Wanawake wana nafasi kubwa katika jamii yetu ya Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla. Mwanamuziki Beyoncé wa marekani aliwahi kuimba akisema wanawake wanakimbiza/wanaongoza dunia (Runs the World (Girls) Ingawa baadhi ya wanawake wengi hawajapata ujasiri wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Kutaja sifa kwa Mwigulu kunaumiza wananchi

    Hashim Rungwe anasema 1. Kuhusu hizi tozo wananchi hawakuulizwa wala kushirikishwa 2. Amesema serikali haibani matumizi, kwa mfano amesema kuwa magari ya vigogo ni bei kubwa, service yanahitaji service kila wakati, huku vigogo wakipewa mafuta bure 3. Anasema Waziri Mwigulu anatafuta sifa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Sifa yetu mbaya kwenye utoaji wa Demokrasia na Haki za Raia ndio zitapunguza idadi ya watalii nchini

    Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao. Ni vizuri rais...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia za Mabinti wa Kidigital

    SIFA YA MABINTI WA JF YETU 1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype. 4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

    Habari za midaa hii wa JamiiForums. Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya. Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…