sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Logic na Reasoning ni sifa adimu kwa watanzania hasa wenye mlengo wa kiushabiki

    Hello JF, Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia maeneo mawili logic na Reasoning kwa watanzania ni zero, hapa namaanisha watanzania kizazi Cha 1990+ hadi huku 200+, ni aibu sana kwa taifa, sijui nikujifanyisha kisa shibe katika kitumwa, ufuasi, upimbi wa akili, mihemko ya upimbi wa kidini. Hii...
  2. JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha: Kama huna sifa hizi sahau kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa kiongozi hapa Tanzania

    Ndugu mtanzania mwenzangu, Wewe unayetamani siku moja kuwa kiongozi wa taifa hili kwa kuteuliwa au kuchaguliwa ni vyema ukafahamu siri hizi ili kama hauna sifa hizi uanze kujipanga mapema. Zipo sifa ambazo ukiwa nazo ndipo utaweza kuwa kiongozi wa taifa hili. Na hizi zinatumika katika mataifa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
  4. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari ni ama tuchague kusikiliza mtaalamu Hamza Johari au mpenda sifa Tundu Lissu

    Hamza Saidi Johari WORK Board Member - Civil Aviation Safety and Security Oversight Agency Director General - Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Part time Lecturer - University of Dar es Salaam (UDSM) Part time Lecturer - National Institute of Transport (NIT) Executive Secretary (CEO) -...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa celebrity ni sifa nzuri kwa jamii zetu?

    Nimekuwa nikitafakari hili neno maana wanaojiita celebrities wanajivunia sana kuitwa hivyo. Celebrity ana sifa zipi?
  6. JamiiForums Tanzania Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

    Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same. Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto Kubwa Kwa Jamii - Nafasi Nyingi za Uongozi Zinashikiliwa na Wasio Na Sifa za Uongozi

    Jamii yetu ya Tanzania kama zilivyo jamii zingine, inakabiliwa na changamoto lukuki, tofauti iliyopo kati ya jamii yetu na zingine ni aina ya uongozi bora na jinsi unavyojikita katika kutatua changamoto hizo kwa wananchi wake, na hatimaye kuleta maendeleo makubwa kwa wananchi wao. Kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji sifa ya uongozi bora

    Katika kijiji kidogo cha Arabika, wanakijiji walikabiliwa na ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa viongozi wao. Lakini wakati Imran alipochaguliwa kuwa diwani mpya, alianza kuleta mabadiliko chanya. Alianzisha utawala wa uwazi na uwajibikaji, na kuhimiza wanakijiji kushiriki katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Guti hakuwa anapewa sifa zake wakati anacheza na hata baada ya kustaafu?

    Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti. Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  12. JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza akamatwa baada ya tukio la Wagner

    Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa.... A top Russian general has 'vanished' amid claims he had advance knowledge of the weekend armed revolt...
  13. JamiiForums Tanzania Mpina ajibu mapigo, asema Mwigulu hana sifa ya kuwa Waziri. Adai anakopa hadi pesa za semina ilhali kuna matrilioni hayajakusanywa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu akidai hana sifa ya kukaa kwenye nafasi aliyonayo. Mpina amedai Mwigulu amepiga ngonjera kwenye hotuba...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

    Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo.. Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
  16. JamiiForums Tanzania Napinga Uteuzi wa Saitoti Zelothe Stephen kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri Handeni, hana Sifa

    Huyu ni mtoto wa Zelothe Stephen ambaye alikuwa RPC mkoa wa Lindi na alisababisha mauji na chuki kubwa mkoa wa Lindi. Zelothe Stephen huyu Kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, ambapo ameleta vurugu kubwa sana mjini arusha ndani na nje ya chama. Amemfanya mbunge wa Jimbo la arusha...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mke anatafutwa

    Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha. Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea wana mpaka dating sites zinazowaunganisha wenza. Kijana wetu anatafuta mwenza ama mke kwa njia...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Mwezi: Wakimpa Sifa Zake, Watapunguza za Kwao?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna watu ambao tunawakumbuka kwa umahiri na weledi katika kazi, vipaji au matendo yao. Michael Jordan aliichezea timu ya mpira wa vikapu ya Chicago Bulls na kujionesha kuwa ni mchezaji bora Zaidi wa mchezo huo duniani. Wengi wanalijua jina la Michael Jordan lakini ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete kumsifia Januari Makamba kuhusu bwawa la Nyerere ni unafiki

    Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu. Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…