sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Mkataba unaotambulika kisheria inabidi uwe na sifa gani?

    Habarini wadau, Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba. Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo...
  2. Blasio Kachuchu

    Wakulima waimwagia sifa Benki ya CRDB mbele ya Rais Samia

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Kilimo Biashara wa Benki ya CRDB, Ndugu Maregesi Shaaban alipotembelea Banda la Benki ya CRDB katika kilele cha maadhimisho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa Jijini Mbeya...
  3. UtdProfile_

    Baadhi ya viongozi hawana sifa za kuongoza

    Serikali yetu inapitia Changamoto pia ya Kuwa na Viongozi ambao hawajui dhamana yao, kazi zao, wajibu wao, lengo la kuwa eneo hilo. Hawajui namna ya kuishi na Raia ambao 2025 utarudi tena kwao kuomba kura🤔🤔🤔 Nape Nnauye ndio namba moja wao kati ya viongozi wajinga.
  4. joyness

    Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

    Habari wana jamvi wenzangu. Leo nitazungumazia juu ya aina ya wanawake ambao wanaume wengi hupendelea kuoa. Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao...
  5. comte

    Ukiwa na sifa hizi wewe ni mjivuni , unaringa, na unajiona bora kuliko wengine

    20 WAYS TO KNOW WHEN YOU ARE ARROGANT Arrogance destroys glory, it is more deadly than cancer. One might be arrogant without even knowing, that is why there's need to read through this points carefully and observe areas that needs to be worked upon for positive change: 1. When you cannot...
  6. Brain Kingdom

    Logic na Reasoning ni sifa adimu kwa watanzania hasa wenye mlengo wa kiushabiki

    Hello JF, Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia maeneo mawili logic na Reasoning kwa watanzania ni zero, hapa namaanisha watanzania kizazi Cha 1990+ hadi huku 200+, ni aibu sana kwa taifa, sijui nikujifanyisha kisa shibe katika kitumwa, ufuasi, upimbi wa akili, mihemko ya upimbi wa kidini. Hii...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Siri iliyojificha: Kama huna sifa hizi sahau kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa kiongozi hapa Tanzania

    Ndugu mtanzania mwenzangu, Wewe unayetamani siku moja kuwa kiongozi wa taifa hili kwa kuteuliwa au kuchaguliwa ni vyema ukafahamu siri hizi ili kama hauna sifa hizi uanze kujipanga mapema. Zipo sifa ambazo ukiwa nazo ndipo utaweza kuwa kiongozi wa taifa hili. Na hizi zinatumika katika mataifa...
  8. P

    Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
  9. comte

    Mjadala wa Bandari ni ama tuchague kusikiliza mtaalamu Hamza Johari au mpenda sifa Tundu Lissu

    Hamza Saidi Johari WORK Board Member - Civil Aviation Safety and Security Oversight Agency Director General - Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Part time Lecturer - University of Dar es Salaam (UDSM) Part time Lecturer - National Institute of Transport (NIT) Executive Secretary (CEO) -...
  10. R

    Kuwa celebrity ni sifa nzuri kwa jamii zetu?

    Nimekuwa nikitafakari hili neno maana wanaojiita celebrities wanajivunia sana kuitwa hivyo. Celebrity ana sifa zipi?
  11. R-K-O

    Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

    Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same. Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
  12. M

    Changamoto Kubwa Kwa Jamii - Nafasi Nyingi za Uongozi Zinashikiliwa na Wasio Na Sifa za Uongozi

    Jamii yetu ya Tanzania kama zilivyo jamii zingine, inakabiliwa na changamoto lukuki, tofauti iliyopo kati ya jamii yetu na zingine ni aina ya uongozi bora na jinsi unavyojikita katika kutatua changamoto hizo kwa wananchi wake, na hatimaye kuleta maendeleo makubwa kwa wananchi wao. Kuwa...
  13. Sildenafil Citrate

    Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  14. R

    SoC03 Uwajibikaji sifa ya uongozi bora

    Katika kijiji kidogo cha Arabika, wanakijiji walikabiliwa na ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa viongozi wao. Lakini wakati Imran alipochaguliwa kuwa diwani mpya, alianza kuleta mabadiliko chanya. Alianzisha utawala wa uwazi na uwajibikaji, na kuhimiza wanakijiji kushiriki katika...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwanini Guti hakuwa anapewa sifa zake wakati anacheza na hata baada ya kustaafu?

    Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti. Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga...
  16. W

    Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  17. MK254

    Jenerali wa kwanza akamatwa baada ya tukio la Wagner

    Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa.... A top Russian general has 'vanished' amid claims he had advance knowledge of the weekend armed revolt...
  18. Replica

    Mpina ajibu mapigo, asema Mwigulu hana sifa ya kuwa Waziri. Adai anakopa hadi pesa za semina ilhali kuna matrilioni hayajakusanywa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu akidai hana sifa ya kukaa kwenye nafasi aliyonayo. Mpina amedai Mwigulu amepiga ngonjera kwenye hotuba...
  19. benzemah

    Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  20. Surya

    Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

    Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo.. Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
Back
Top Bottom