siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. R

    JamiiForums Tanzania Albert Einstein: His boundless curiosity, creativity and imagination are beyond the realm of science to include the world and humanity more generally

    Father of modern physics. Nobel Prize winner. Moustache-touting deep thinker. Albert Einstein was many things. The German-born theoretical physicist is probably the world’s most recognised scientist. His formula expressing the relationship between mass and energy – E = mc2 – is well-known, if...
  2. JamiiForums Tanzania Machinga wasilete siasa waondolewe haraka miji yote Tanzania

    Fremu leo zimedoda mikoa yote, ina maana Machinga wanashindwa kujiunga hata watatu watatu wakachukua fremu wakaripa Kodi? Nchi imekuwa ya kipuuzi sana mama ntilie wanashindwa kujiunga wakatengeneza taasisi inayolipa Kodi na wakafanya derivali ya chakula kwenye maofisi mida ya mchana? Mpaka...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuokoa Polisi, kuwe na Kamishna wa Siasa

    Pamoja na ukweli kwamba Polisi haitakiwi kujihusisha na siasa ukweli ni kwamba Polisi inajihusisha sana na siasa. Kibaya zaidi hakuna uamuzi wa kueleweka na kila kiongozi wa Polisi anafanya maamuzi yake kwa kuangalia kusifiwa au kupandishwa cheo. Polisi wamekuwa wakitafuta sifa kwa watawala...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, turufu muhimu katika Siasa za Kimataifa

    Na Dk Juma Mohammed Kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akiwa Rais wa kwanza mwanamke wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Septemba 23 mwaka huu, Rais Samia atahutubia Baraza Kuu linalowakutanisha Viongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Siri za siasa na mbinu zilizo nyuma ya pazia

    Habari zenu wakuu, mada kama mlivyo ona hapo juu, lakini kikubwa ninacho zungumzia siri ya siasa na mikakati iliyo nyuma ya pazia kwa kinvuli cha siasa, kitu hiki ni kipana lakini kwa mwenye busara na hekima anaweza fungua code katika siasa za Tanzania, ijapokuwa kuna kitu watanzania wamekikosa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uchaguzi wa 2025 zinamng'oa Rais wa CWT kiulaini

    Huyu mama amekuwa na msimamo ambao umemfanya atofautiane na Katibu Mkuu wake Ndugu Seif. Katibu Mkuu wake huyo pamoja na kuwa na kesi ya jinai inayohusu ubadhirifu wa fedha za CWT Mahakamani hajaweza kusimamishwa kazi na ndiye ameendelea kukiongoza Chama kupitia Kamati Tendaji. Amekuwa na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mzee Kikwete katika siasa za Tanzania ya Rais Samia

    Rais Mstaafu Kikwete anamsifia rais Samia kwa utendaji mzuri kama alivyofanya kwa marehemu Magufuli bila kujali machungu ya wa-TZ. Ni tabia ya kulazimisha kutuonesha uhusiano wake na marais walioko madarakani. Wakati Magufuli akiingia madarakani, kulikuwa na marais wastaafu watatu; Mwinyi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Nyota 3 wa Rivers Plate Walizuiwa kucheza kwa Siasa za Corona

    Masaa mawili kabla ya mechi ya leo .wachezaji 3 tegemeo wa Timu yw Nigeria walizuiwa kucheza . Kisingizio ni Covid. Yanga mjiandae kwa shughuli kamamlioifanya kwa Mkapa leo!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Haji Manara na fred Vunja Bei wanavyoathirika siasa za viwanjani Yanga na Simba

    Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Upako: Kwa akili hizi za siasa za chuki, kujilimbikizia mali na kutukana mabeberu hamtafika mbali

    Haya yamesesmwa na Mzeee wa Upako Mchungaji Antony Lusekelo ktk moja ya video clip inayoenea mitandap ya kijamii kwa kasi. Amesema siasa za chuki, uhasama, kujilimbikizia madaraka na mali ni za kijinga na zimepitwa na wakati. Sikiliza mwenyewe hapa. Jiwe limetupwa Gizani
  13. JamiiForums Tanzania Hivi unafiki itakusaidia nini? Tajiri vs Masikini

    Kiukweli dunia ya sasa inashangaza sana. Kuna wakati nikaa na kutafakari mambo yanayoendelea katika dunia hii hasa hapa kwetu Tanzania naumia kiukweli. Hivi siasa unafki utakusaidia nini? Nauliza hivi kwa sababu ni rahisi sana kwa masikini kumtetea tajiri ili apate zaid kuliko tajiri kumtetea...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa siasa za Tanzania utamjenga Bi. Stagomena Tax au utabomoa historia ya mazuri yake?

    Moja ya kitu kinachofanywa na mfumo wa siasa za Tanzania hasa kwa wanasiasa waliopo CCM na serikalini nikubomoa carrier zao na uzuri wao nakuwavisha maovu. Wanazuoni na wanasiasa walioonjeshwa mfumo wa serikali ya Tanzania wote wamebomoka badala yakujijenga zaidi. Ntatoa mifano michache...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Je, Msajili wa Vyama vya siasa alikaa lini na IGP akaambiwa kuna kikao?

    Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa? Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho? Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo? Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa...
  16. JamiiForums Tanzania Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

    Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa CCM, huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake. Jaji Luvanda...
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
  19. JamiiForums Tanzania Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mbowe kuachiwa na siasa za Tanzania kuelekea 2025

    Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…