siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. namraroh

    JamiiForums Tanzania Siasa inavyochangia Uchafu ndani ya Jiji la Dar es Salaam

    Habari za leo wanabodi, Ni matumaini yangu tupo salama na tunaendeleza mapambano dhidi ya Uviko 19, ni vyema tukachanje ndugu zanguni!!! Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Swala la usafi katika jiji letu la dar isalaam linaendelea kuwa kitendawili kigumu kwa wakazi wa jiji hili na mamalaka...
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nchi za kijamaa (communist) na siasa za vyama vingi huwa haviivi

    Duniani leo nchi za kijamaa (communism) zimebaki chache sana. Imebaki China, Vietnam, Cuba, Tanzania na zingine mbili tatu. Mtu anayesema Tanzania siyo nchi ya kijamaa anakuwa anakosea sana. CCM chama kinachoongoza nchi yetu ni chama cha kijamaa. Katiba yetu inasema hivyo, na hata sheria na...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya chanjo jitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa

    Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani. Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa. Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua...
  4. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Utumishi wa Umma ni Useless tu kwa siasa za Tanzania

    Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka. Huyu mtu pengine hakuwahi hata kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Siasa katika kutenga eneo la kilimo na ufugaji katika Wilaya ya Simanjiro?

    Mh Waziri wa Ardhi tupia jicho lako katika Wilaya ya Simanjiro kwani kuna dalili zote kuwa kuna siasa imeingizwa kwenye utengaji wa eneo la kilimo na ufugaji. Suala la kutenga eneo la ufugaji na kilimo ili kuondoa migogoro baina ya wakulima na wafugaji lakini kuna watendaji wasio na maadili...
  7. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Zitto alibaki katika siasa kwa upendeleo na sasa anawinda upendeleo

    Zitto miaka yote alikuwa mtu mwenye mdomo mrefu lakini aliishi kwa kuachiwa jimbo kwa urafiki binafsi na Kikwete, ambaye 2010 alishindwa hata kufanya kampeni za CCM ndani ya jimbo la Zitto. Alipoingia JPM Zitto akajionesha mtu wa kujua uchumi sana! Ajabu ameingia Samia zitto ni ziiiii! Kimyaaa...
  8. May Day

    JamiiForums Tanzania Wabongo na Siasa kwenye Chanjo ya COVID-19

  9. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Je, PSSSF wameingia kwenye mkondo wa Siasa au hawana pesa?

    Nauliza swali hilo ni kwa sababu ndugu yangu aliwasilisha nyaraka za kustaafu miezi 3 kabla ya kustaafu rasmi na walizipokea wakasema kila kitu kimekamilika. Sasa ameshastaafu ana miezi 5 sasa ukizingatia ofisi ya waziri ili tetea sana swala la wastaafu kulipwa pia Rais alisisitiza walipwe...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

    Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar). Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi. Suali Je...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima hataki kubadili uelekeo, inawezekana ni mgeni na chama

    The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini. Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo. Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Siasa za awamu ya 5 na ya 6 zinaelekea kudidimiza umoja wa Taifa letu

    Chama changu Tawala hujinadi kukuza umoja wa Kitaifa lakini kwa awamu hizi mbili ninaona umoja huo unazidi kudidimia. Chama change kinajuhami kupita kiasi hata kwa kuumiza wengine. Hivi ni kweli kabisa tunajaribu kuwaaminisha watu kuwa Mbowe ni Gaidi! INAUMIZA SANA, pamoja na UCCM wangu. Hivi...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Usifanye siasa kwenye chanjo; uhai wako sio mali ya Kanisa, Serikali au Msikiti

    "Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka
  14. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Rioba kiti kinapwaya na siasa huwezi

    Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana. Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA. Jitokeze kama nafasi hiyo bado...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

    Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa. Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
  16. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Demokrasia: Mbowe na Lipumba washauriwe wapishe na ziingie fikra mpya kwenye Siasa za Vyama vingi

    Friends and Enemies, Muda unakimbia Sana,mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na kuanza kwa uchaguz wa kwanza wa vyama vingi 1995,unaweza dhan kama ni majuz tuh,lakin ni miaka zaid ya ya miaka 26 hizi sura z hawa wanaojiita wapigania demokrasia ndan ya nchi hii hazijawahi kubadilika...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dkt. Mwigulu Nchemba zinadidimiza huduma nzuri za afya Hospitali ya Wilaya Iramba

    Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana. Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Siasa za Olimpiki: Tunapeleka washiriki wangapi?

    Ndugu zetu Kenya wamepeleka wanamichezo 93 sisi hapa tunapeleka watalii wangapi Olimpiki Japan? Au ndo bado tunachakata majina kupitia kamati kuu ya Olimpiki?
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Mbowe inabidi aache siasa rasmi sababu hapati faida yoyote

    Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye. Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao? Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure tu kwa Wanaharakati na Wapenda Siasa na Demokrasia za 'hovyo hovyo' Barani Afrika

    Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako. Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
Back
Top Bottom