siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

    Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno. Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo. Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tusichanganye Dini na Siasa, ni hatari

    Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao? Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani...
  3. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Edgar Lungu Ameonesha Njia, Tuige Kulinda Amani

    Na Nkuruma wa Karne ya 21. Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka. Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Mzee Ally Hassani Mwinyi kuhusu Siasa

    "Siasa Hazikuja kwa lengo la Kuleta Uhasama bali kukuza demokrasia katika nchi" Rais Mstaafu wa awamu ya 2 Mzee Ally Hassani Mwinyi katika mahojiano maalumu na TBC 2016 kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
  5. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Slaa na siasa za 2025 na kuendelea

    Inaelekea ukaonekana ni uzi wa ambao ni ngumu kuuelewa kama lilivyo lile neno refu kuliko yote la lugha ya kimalkia yaani Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosi. Nina iangalia kwa kuichungulia 2025 kuelekea mbio za urais, na balozi dkt w.slaa anaweza akaja kivingine na kuushangaza umma wa...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  7. The ricco king

    JamiiForums Tanzania SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  8. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  9. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Vijana someni sana ili kuongeza ufahamu

    Habari Tanzania! Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi. 1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika kiutawala na utapata adhabu yenye kukupa adabu aidha uache nia ovu uliyonayo kwa kujua au kutokujua; au...
  10. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa Chama kipya cha Siasa cha Ukombozi hasa. CHADEMA na CCM hamna kitu

    Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala. Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania. CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

    Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa adaiwa kumtaka Mnyika aandike barua ya maelezo kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu Rais Samia

    Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania. Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Miraruano ndani ya vyama vya siasa ni ishara ya nyufa

    Habarini wadau, Wiki hiii naona miraruano na mitifuano ndani ya vyama vya siasa yote haya yanatokea kama vile vyama havina viongozi. Ni wakati wa kujitathmini kwa viongozi wa vyama hivi vikubwa. Tumeona jana gazeti pendwa limetoka na habari ya kimtifuano ndan ya chama mpaka gazeti linakwenda...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  16. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Utumishi waache siasa kwenye kazi

    Habari za wakti huu; Naandika uzi huu kwa nia nzuri kabisa ambayo najua Ndugu XAVIER DAUDI pamoja na Waziri anayehusika na UTUMISHI pia wanayo. Utumishi wa serikali/umma ni heshima kubwa sana kwa yeyote anayepata fursa ya kuajiriwa huko. Hata ni ukweli usiopingika kwamba sio kila mtu ana sifa...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Taratibu Polisi inachukua nafasi ya CCM kwenye siasa za Tanzania

    Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola. Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema. Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zimejaa vituko

    Nimecheki hili bango nimeishia kucheka ingawa jambo lenyewe ni zito .
  19. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Siasa za uwekezaji na uwezeshaji, tofauti na uhalisia wake

    Baada ya kuwa msomaji na mfuatailiaji na mchangiaji mzuri sana wa Jamii Forums kwa muda mrefu, ingawa uchangiaji wangu hapa JF umejikita katika mambo ya biashara, ujasiriamali na mengineyo machache, leo nimeona nitoe dukuduku langu kwa uchache kwenye siasa. Lakini mada yangu hii ya siasa...
  20. Bowie

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Askofu Gwajima aanzishe Chama cha Siasa

    Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19. Inavyoonekana Askofu...
Back
Top Bottom