siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mbobevu katika siasa, msimchukulie poa

    Nilikuwa naangalia "poster" yenye Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ya 2002 ambapo Hayati Benjamin W.Mkapa akiwa Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (Mjumbe), na Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mjumbe) nikajisemea CCM hii wewe ione hivi tu! lakini nikwambieni CCM haiko kama unavyoiona wewe bali...
  2. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Porojo na Uhalisia Katika Kashfa ya Ndugai

    Abuu Kauthar Siku hizi kila jambo linalotokea ni hoja ya kudai katiba mpya. Ni hivyo hivyo imekuwa katika kashfa ya Job Ndugai ya kuipinga serikali na chama chake hadharani, jambo lililopelekea hasira za wana CCM na kulazimika kujiuzulu. Limezungumzwa sana suala la mihimili ya utawala...
  3. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?

    Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nalinganisha Vyama vya SIASA Nchini Tanzania na Mitandao ya Simu

    Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

    Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania. Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu. Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Katiba na Siasa za Tanzania - Tuwekane sawa

    Kiwango kilichofikiwa kinafikirisha. 1. Kufanya siasa kwenye ubora wa elimu ilikuwa mkakati wa muda mrefu uliobuniwa na utawala wa awamu ya pili ili kuwa na taifa la watu wasiojielewa kusudi waburuzwe, AU ilitokea coincidently tu kulingana na uelewa wa kiongozi wa nchi juu ya maana na umuhim wa...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania FUNZO LA NDUGAI: Kuna haja kisheria kwa Tanzania kuwa na Spika asiyetokana na chama cha siasa?

    Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa. Upande wa pili pia, utendaji wa Ndugai akiwa spika wa bunge la Tanzania kwa sehemu kubwa ulikuwa...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitoa Kitendawili, kama hadi sasa hujategua wewe hujui siasa

    Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue. Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki kitendawili, Tutamuita Maua Sama akupe somo. Na jijengee uwezo wa kuelewa Siasa za nchi.
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Staajabu Siasa za Afrika; Bunge kumchagua Rais mpya nchini Uganda?

    Siasa za Afrika ni sawa na mti wenye majani mabichi yanayokufanya upende kwenda kukaa chini yake kwa sababu una kivuri kizuri ilihali chini kuna mchwa wanautafuna. Nchini Uganda Rais anayesemwa na mpinzani wake kuwa ni dikteta Yoweli Museveni anafikilia kuwanyima haki wananchi wa Uganda...
  11. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Ilani za uchaguzi za vyama vya siasa zinaweza kubadilishwa baada ya kupewa ridhaa ya kutawala?

    Wajuzi wa siasa na sheria tujuzeni katika hili tujuwe na tuchukuwe tahadhali siku zijazo. Nawasilisha kwa mwongo wenu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

    Siasa si ushabiki, wala vita vya kisiasa si lelemama. Haipo shaka aina za kina Lissu, Mbowe na wa namna hiyo ni machampioni kweli kweli. Si haba pia kwa kina Polepole, Kinana, Makamba au kina Membe kwa wakati wao. Kwa hakika nao walijaribu. Wa kuzingatiwa katika vita huwa ni maadui na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania BEIJING OLYMPICS: Haifai kuingiza siasa kwenye michezo

    Caroline Nassoro Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi imepangwa kufanyika mjini Beijing, China, mwezi Februari, na maandalizi yote kwa ajili ya michezo hiyo yamekamilika. Lakini baadhi ya nchi ikiwemo Marekani, zimepanga kutoleta maofisa wao katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi...
  14. KHM 1995

    JamiiForums Tanzania Udhaifu na unafiki wa siasa za Tanzania

    Siasa, Dini, harakati za maisha, ni vigumu sana kuvitenganisha. Siasa na dini, hivi ni vitu viwili tofauti lakini viko katika package moja, ni ukweluliomc mchungu siasa na dini zikitumika vibaya mpasuko mkubwa wa kitaifa utatokea, naomba niachane na hapa, naomba nizungumzie mienendo ya Siasa ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaandaliwa kikao na Rais, wanaamini kikao hiki kitatupa Katiba Mpya?

    Kelele zimekuwa nyingi Sana na upinzani hasa Chadema wanaonekana kumiliki agenda nyingi kila Kona , wanaonekana Wana wafuasi wengi sana mitandaoni Jambo linalokwamisha ujumbe wa serikali na CCM kusambaa ipasavyo. Wakosoaji wamekuwa wengi mitandaoni na nje ya mitandao hii inaweza kuwa...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

    Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu. Anasema watu wanazunguka...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania CCM kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali kikundi kilichoshika mateka uhuru wa kutoa maoni na hakitaki mwenyekiti akosolewe.

    Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

    NDUGAI AOMBE RADHI Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni...
  20. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
Back
Top Bottom