Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Zitto miaka yote alikuwa mtu mwenye mdomo mrefu lakini aliishi kwa kuachiwa jimbo kwa urafiki binafsi na Kikwete, ambaye 2010 alishindwa hata kufanya kampeni za CCM ndani ya jimbo la Zitto. Alipoingia JPM Zitto akajionesha mtu wa kujua uchumi sana! Ajabu ameingia Samia zitto ni ziiiii! Kimyaaa...
Nauliza swali hilo ni kwa sababu ndugu yangu aliwasilisha nyaraka za kustaafu miezi 3 kabla ya kustaafu rasmi na walizipokea wakasema kila kitu kimekamilika.
Sasa ameshastaafu ana miezi 5 sasa ukizingatia ofisi ya waziri ili tetea sana swala la wastaafu kulipwa pia Rais alisisitiza walipwe...
Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar).
Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi.
Suali Je...
The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini.
Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo.
Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea...
Chama changu Tawala hujinadi kukuza umoja wa Kitaifa lakini kwa awamu hizi mbili ninaona umoja huo unazidi kudidimia. Chama change kinajuhami kupita kiasi hata kwa kuumiza wengine. Hivi ni kweli kabisa tunajaribu kuwaaminisha watu kuwa Mbowe ni Gaidi! INAUMIZA SANA, pamoja na UCCM wangu.
Hivi...
"Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka
Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana.
Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA.
Jitokeze kama nafasi hiyo bado...
Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa.
Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
Friends and Enemies,
Muda unakimbia Sana,mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na kuanza kwa uchaguz wa kwanza wa vyama vingi 1995,unaweza dhan kama ni majuz tuh,lakin ni miaka zaid ya ya miaka 26 hizi sura z hawa wanaojiita wapigania demokrasia ndan ya nchi hii hazijawahi kubadilika...
Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana.
Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
Ndugu zetu Kenya wamepeleka wanamichezo 93 sisi hapa tunapeleka watalii wangapi Olimpiki Japan? Au ndo bado tunachakata majina kupitia kamati kuu ya Olimpiki?
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.
Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?
Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa...
Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako.
Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
Kuna features kadhaa kuhusu matukio makubwa mawili yaliyojiri siku chache zilizopita, la kukamatwa Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine kadhaa wa Chadema, na kabla ya hapo, kukamatwa kwa wafuasi kadhaa wa chama hicho, matukio yaliyojiri huko Mwanza.
Kwanza, hoja za jeshi la polisi na mkuu wa...
Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni.
Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
Mfumo wa sheria, matumizi ya sheria mazuri ya sheria, sheria inapotumika vibaya hupelekea kutokuwepo na haki za binadamu kwani kwa watu ambao wanatamani kutoa mawazo yao au kukosoa selikali hubambikiwa makosa ya jinai. Mfano kesi mbalimbali za wanachama wa chama pinzani kwa kugunguliwa kesi za...
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.
Leo...
Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii inapitia vipindi vigumu sana hasa katika nyanja za siasa.
Siasa za nchi hii zinapitia maigizo mengi...
“Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira.
Ni ukweli usiopingika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.