siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  2. NTIGAHELA

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hampendi ACT-Wazalendo ifanye siasa zake?

    Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa: 1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations 2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG? 3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ili iendelea Yapasa Vyama vyote vya siasa Vifutwe

    Ili Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa. Pili wafanyakazi wa umma wafutwe wote, waajiriwe wapya tuanze upya. Wafanyakazi wataobaki wawe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu wajumbe wa Task Force ya Msajili

    Itakuwa ni kujidanganya mchana kweupe, kudhani kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari na kuwa kazi inaendelea. Taarifa rasmi kutokea katika mkutano huo wa kusaka tahfifu katika siasa kwa wadau ni kama ilivyo hapa chini: Hiyo ndiyo habari yenyewe. Kama vipi kuwafahamu wajumbe hawa zaidi...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa aunda kikosi kazi

    Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana. Where is Jaji Warioba in this Task Force at least. Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  7. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Kuna watu bila siasa watakufa njaa

    Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa: 1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha 2. Yusuph Makamba - Mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono. 3. Humphrey Polepole - Huyu jamaa bila porojo za siasa hana...
  8. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere usihamishie hasira zako kwa Zitto Kabwe, muacheni Mwami atufundishe siasa

    Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwandisya na Mhongo: Msimlaumu Mwanafunzi Kupata PHD jilaumuni Ninyi (Dr and Prof) mlioacha taaluma mkakimbilia siasa kwa makundi makundi

    Siku zote Mwanafunzi anapokwenda darasani ufanya Kwa mujibu wa maelekezo ya walimu na wasimamizi wake, ufanya Kwa mujibu wa Sheria na kanuni za chuo na ufanya Kwa kuzingatia principles za vyuo husika. Mwanafunzi ajifaulishi anafaulishwa na wanaofaulisha ni wasimamizi wake. Prof Mwandosya na...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

    Mungu hajawai kuumba vyeo vya watu bali aliumba watu na watu wanayao bila kujali vyeo wala nafasi zao VATICAN CITY (Reuters) - Cardinal Peter Turkson, seen by some as a candidate to become the first African pope in about 1,500 years, has abruptly offered his resignation from a key Vatican...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe, ukitoka jela pumzika siasa. Wafuasi wako wanakusaliti

    Wanaukumbi. Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu. Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Ikulu vinakera

    Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Waziri TAMISEMI tunaharibu elimu siasa zisiharibu utaratibu uniform zina sababu ya kuwepo tikiruhusu hilo mabint wataishia kwenye magheto

    tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha tengenezwa, siasa zisifanye tuanze kuivuruga tena sare za shule zina umuhimu sana kwa usalama wa...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wadau wa Siasa

    HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...
  15. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamezoea unafiki na siasa za ki malaya malaya, sio ajabu wanawashangaa CHADEMA

    Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi. Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa wadau wa Siasa: Sababu za Chadema Kukerwa

    Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa: Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua: Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi. Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi. Tutafika tu.
  17. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

    === Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora, Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili...
  18. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Siasa za Chanjo za Uviko (Politics of Covax)

    Kwakuwa chanjo ni vijidudu vilivyofubazwa nguvu vinapandikizwa mwilini ili viishi na wewe milele, sasa je, nisipochanja Corona alafu mtu aliyechanja akaniongezea damu wakati nilipohitaji damu je, vijidudu vile (chanjo yake) haviwezi kuhamia kwangu kwenye damu yake ile aliyoniongezea na kwamba...
  20. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anarudisha mikutano ya hadhara ya vyama siasa

    Ni kilio cha muda mrefu cha wanasiasa wa Tanzania hususan vyama vya upinzani. Wanataka kurudishwa kwa mikutani ya hadhara ambayo ni haki yao ya Kikatiba, lakini iliminywa wakati wa utawala wa awamu ya tano chini ya Hayati Rais John Pombe Magufuli. Leo kwenye mkutano wa wadau wa siasa nchini...
Back
Top Bottom