Masumbuko mwanangu Siasa zina wenyewe

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,457
11,892
Najaribu kuwaza kwa sauti ndogo Sana.

Tumeshuhuda watu wengi Sana wamejitokeza kutia Nia na kuchukua fomu za kugombea ubunge kupitia tiketi ya chama 'DUME' Sio kingine Bali Ni CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Swali
Kipi kina wasukuma Hawa watu kujitokeza kwa wingi kiasi hiki? Huu ubunge wa CCM Ni fursa?

Kashi Kashi zimekua nyingi mitifuano na minyukano imekua mingi huko majimboni hata wasio stahili kugombea nao wamekimbilia kuchukua fomu.

Kuna watia Nia wengine yaani hata kweny MAISHA yao binafsi wame fail je? wakipewa nafasi wataweza kuwakilisha wananchi Jimboni?

Kuna haja ya kutafakari upya Kama taifa Aina ya watu ambao tuna wachagua kwenye uwakilishi bungeni

Kuna watu ambao hawana 'impact totally in their society' MTU ambae hajawai kujisimamia au kusimamia Jambo likafanikiwa?

Ndio tuseme mtaan kumekua kugumu mpka watu Wana AMUA ku 'BET'
Ubunge maana fikra Zao zinawatuka kua Ubunge Ni fursa Kama fursa zinginee

Rai yangu,
Hili Jambo Lina indication Sana Tena Sana

Kila la kheli kwa vyama vyote vya siasa hapa nchini Tanzania katika kuwa chakata na KUPATA (cream) ambayo itapeperusha bendera ya chama husika katika uchaguzi mkuu October 2020

Viva Tanzania.
 
Back
Top Bottom