siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uchaguzi inasemaje juu ya mawakala wa vyama vya siasa?

    Nawaombeni Ndugu zangu mnieleweshe juu ya Sheria ya Uchaguzi inasemaje juu ya mawakala ya Vyama vya Siasa kwenye vituo vya kupigia kura. Leo nimemuona mgombea fulani wa Chama fulani akisema kuwa hakitaeleweka kuhusu mawakala wao kama hawataapishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliwasimamie kwenye...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya. Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya. 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi nyingi kwa kamati ya ushindi Chadema, hakika nyie ni wataalam wa siasa

    Napenda kuipongeza kamati ya ushindi Chadema kwa mkakati mzuri wa kuifanya Chadema kushinda uchaguzi huu, Mambo haya mmeyafanya kisayansi zaidi na kuibomoa kabisa ccm kiasi Cha kukosa Cha kuzungumza mbele ya watu, badala yake unaona mgombea wa ccm anasimama anasema, " Chadema wametumwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasipojua nyakati wanaweza kuchelewa kugundua wanaongozwa na siasa na sio Bibilia au Msahafu

    Trend inaonyesha licha ya kuwepo maagizo ya kidini kusambaza imani zao. Bado wanasiasa wa ulaya watafuta Mali wakiarabu waliwatangulia wana dini kusambaa duniani. Yaani walianza wapererezi wamisionary nao wakafuata. Wengi walijikuta wanasambaza dini kisiasa. Wanasiasa walipoanza kuhimiza Elimu...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Hiki ndio kipindi cha kufanya shughuli za siasa. Usilaumu Vyombo vya Usalama kwa kukuwekea vizuizi unapotaka kufanya haya kwenye muda ambao sio

    Mwezi mmoja baada ya muda wa kampeni kuanza rasmi Tanzania na uki wauliza wengi, wata kwambia "Mambo bado, Bado asubuhi, Kujaza uwanja mzima haimaanishi kwamba uta shinda". Uki tizama kwa haraka haraka, na uki tumia kigezo cha watu kufurika kwenye mikutano unaweza kusema kwamba Mhe John Joseph...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  8. JamiiForums Tanzania Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

  9. JamiiForums Tanzania Je, ukimaliza Diploma, unaweza kupata mkopo kwa ngazi ya Degree?

    Kama form four ulisomea shule ya serikali na ukafaulu vizuri ukaingia chuo, ukamaliza kusoma diploma kwa miaka mitatu na ukataka uendelee na degree. Unaweza kupata mkopo kutoka serikalini huko utakapofika kwenye ngazi ya degree?
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  11. JamiiForums Tanzania Pemba: Vyama sita vya siasa vyalaani vurugu za Alfajiri ya leo, waomba msaada wa IGP baada ya wananchi kukatwa mapanga

    Mgombea Urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir(Demokrasia, makini): Katika barua yetu ya tarehe 15 kumuomba msajili wa vyama vya siasa pamoja na IGP, tulimuelezea kwamba, kuna baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini kwetu Zanzibar, wameanza tabia ya kuanza kuwashajihisha wanachama wao au...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

    Nimemuona mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii. Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha. Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa? Majibu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli wa CCM, kuzuia mikutano ya siasa miaka 5 itamgharimu sana

    Viona mbali tulisema kwamba mzee baba kuwabana wapinzani wasifanye mikutano ni kuzuia waseme ya moyoni ili upate kujirekebisha. Ilikua ni wakati sahihi kuwaacha wazunguke kisha utathmini siasa zao majukwaani kisha uone madhaifu yao. Sasa umewaambia hakuna mikutano ya hadhara wajifungie kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri. Watanzania wali miss sana siasa za Upinzani

    Ukiona yanayo tokea, badhasha, furaha inayoambatana na mapokezi ya Wagombea udiwani, ubunge na Urais kupitia Chadema na ACT wazalendo unagundua yafuatayo. - wanainchi walikua na kiu ya kusikia Sera mbadala za upinzani , - kuna kundi la wananchi ni die hard wa upinzani hivyo katazo la shugjuri...
  15. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa ndio wawakilishi na watetezi wa wanyonge. Fikirieni suala la makazi nafuu mijini

    Vyama vya Siasa ndiyo wawakilishi wa wananchi, ndiyo sauti ya wengi. Katika sera zenu wengi wameongelea Afya ya Jamii, maji, umeme, elimu, kilimo, biashara, nk. Wananchi ambao ni wapiga kura wenu, hasa wanaokaa mijini wengi ni wenye kipato chini ya Tsh 500,000 kwa mwezi. Wengi wako kwenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongereni timu za kampeni Uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kutupilia mbali siasa za majitaka

    Mpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea. Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu. Uchaguzi wa 2015 mwingine aliambiwa eti ni mgonjwa. Hongereni vyama vyote kwa kufanya kampeni za kisayansi. Tunatumaini hii hali...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  18. JamiiForums Tanzania Mjulisheni Magufuli, siasa za kupambana na dunia anazozijaribu hapa zimeshindikana Zimbabwe

    Zimbabwe wamesalimu amri rasmi, sasa wanarudisha mashamba ya Wazungu waliyoyanyang'anya Miaka 20 iliyopita. So Mjulisheni Magufuli kuwa anachokijaribu hapa wenzake wamekijaribu na kimewashinda, mjulisheni maana haya mambo ya Kimataifa huwa yanampita hana habari; Kabudi naye yupo kakodoa Macho...
  19. JamiiForums Tanzania Kabila Joseph ulingoni tena kwenye siasa za uwazi za Congo DR.Hii imekaaje kwa mustakabali wa taifa hili chini ya utawala mpya wa Rais Tshekedi?

    Wakuu salaam. Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu mtu chake zitto junior mng'ato Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA. Na kama...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaleta siasa kwenye hela za mafao?

    Sababu kuu ni kwamba mifuko hiyo iko hoi. Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…