Maalim Seif Sharif Hamad at 77th year anatafuta nini kwenye Siasa?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?

Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.

Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
 
Kwanza nikuulize Lowassa wa mwaka 2015 alikuwa na miaka 77? halafu lingine ninalotaka ufahamu ni kwamba Maalim Seif siyo mtu au binadamu, hii ni Taasisi, wanaccm wamekesha kutafuta majini hadi comoro ya kuidhuru taasisi iitwayo Maalim Seif lakini imeshindikana, sasa kwa mtu duni kama wewe unayelipwa posho ya tsh 7000 unadhani utafanya nini?
 
Upinzani njaa huku kwetu, viongozi ving'ang'anizi kwenye madaraka kama ruba!! Tamaa na uchu wa madaraka!
 
Mara nyingi sababu kubwa ni ubinafsi. Hawaamini kama mtu mwingine anaweza isipokua wao tu. Vijana wapo wengi, wawayengeneze hao na kuwapa support.
 
Ni sababu tosha ya kuonesha kushindwa....maana yake ni kuwa chama au kiongozi husika kashindwa kuandaa warithi! Hiyo pekee inaonesha sio kiongozi nzuri. Hafai.
kwa mantiki ya hoja yako huku bara ccm wameshindwa kuandaa mshindani wa magufuli uchaguzi wa mwaka huu.

maana nimekwambia huenda hao wengine hawataki kugombania hiyo nafasi na si kwamba hawapo
(juma duni, hamadi massoud, omar ali shehe n.k)
 
Huyu mzee ana tamaa sana usishangae hata kama akikosa safari hii basi 2025 atataka tna. Akisema safari hii kuna vijana lakini yote ilikuwa gelesha tu anadai eti watu wataandamana asipogombea
 
Back
Top Bottom