siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii. Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically. Na huu ndo ukweli. "Hakika kunguru...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa imetumika kwenye vifurushi

    Nafikiri sote tunakumbuka kilichofanyika baada ya kupanda kwa gharama za mawasiliano, tulilalamika waziri akijitokeza na kutulaghai yuko pamoja na sisi gharama zitashushwa ifikapo mwezi April cha kushangaza vilibaki vilevile na sisi tukaridhika. Mwezi April ndo huu gharama zimeongezwa mara...
  3. JamiiForums Tanzania Matukio ambayo sitasahau kwenye siasa 2015

    Mwaka 2015 kulikua na vuguvugu kubwa sana la upinzani,yani kifupi ulikua ukivaa nguzo za CCM unazomewa na kila mtu,kijana yeyote alionekana CCM alijihatarisha maisha yake kama atapita mitaani na sare za chama. Pamoja na hayo kati watangaza nia niliokuwa nawahofia kabisa na alikua tishio ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wana haki ya kijiunga na vyama vya siasa

    Kama waandishi wa habari wakijiunga na chama cha siasa, ambayo ni haki yao kama raia, lazima waepuke kutumia nafasi yao kukinufaisha chama chao hasa kupigia debe misimamo inayochukuliwa na vyama vyao Maazimio ya waandishi wa habari yanazuia kupotoka kwa kuwazuia waandishi wa habari ambao ni...
  5. JamiiForums Tanzania Msomi kwa ngazi ya PhD, tunza heshima yako usikimbilie Siasa

    Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda. Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa mifupa anaenda kuwa waziri wa michezo au waziri wa Utalii. Na kuna mtalaamu aliyesomea Hotel...
  6. JamiiForums Tanzania Wapinzani tambueni kuwa tunayahitaji maendeleo zaidi kuliko siasa

    WAPINZANI TAMBUENI KUWA TUNAYAHITAJI MAENDELEO ZAIDI KULIKO SIASA Kwa mjibu wa kamusi ya Oxford, "Siasa ni shughuli zenye lengo la kustawisha ama kuongeza hadhi ya mtu fulani au kuongeza mamlaka ndani ya jumuiya ama shirika fulani". Kwa mantinki hiyo unaweza kuona kuwa siasa ipo kwa ajili ya...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ninaomba vyama vya siasa viwe makini kupendekeza Mgombea Mwenza kwenye Uchaguzi Mkuu

    Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais. Nikiri kuwa sikuwahi kuchukua cheo cha Makamu wa Rais kwa uzito mkubwa. Mara nyingi niliona kuwa makamu wa Rais ni takwa...
  8. 4

    JamiiForums Tanzania Watani zetu wa kisiasa CCM chukua wazo hili kwa moyo mweupe, siasa sio vita

    Kwanza tupeane pole ya msiba,KWA maana marehem alikua kiongonzi wetu wote kama Rais, that's jana nimeshinda kwenye tv mpaka macho yanauma ili kushudia safari yake ya mwisho,hivyo ni wazi mh jpm(Rip) Chama chake ilikua posta kwake ila barua ilikua ni ya wazi KWA watanzania wote. Mada husika...
  9. JamiiForums Tanzania Tumepoteza Magufuli, Jabari na Mwamba wa uchumi katika siasa za Afrika

    TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA NA ELIUS NDABILA 0768239284 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si hiari, ni lazima kwa kuwa vitabu vya dini vinatuasda kuwa kila mtu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si...
  10. JamiiForums Tanzania Urais TLS waingiwa na siasa za Upande mmoja, makada wajitokeza

    Chama cha wanasheria nchini TLS kinafanya uchaguzi wake mwaka 2021 baada ya kutofanyika 2020 kutokana na wimbi la Covid-19 phase 1. Uchaguzi huo utakaofanyika jijini Arusha {Jiji lililochukiwa zaidi na Marehemu, pamoja na kilimanjaro } utakuwa wa aina yake kwani Makada watatu wa CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Akihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi. Tundu Lissu amesema kuwa mapema tarehe 7 mwaka huu alihoji kuwa yupo wapi rais Magufuli baada ya kutoonekana kanisani na mitaani...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuache siasa tufanye chanjo kuokoa watu wetu

    Jamani ni ushauri tena tumeshaona kwa muda mfupi tu ni viongozi wangapi wamepoteza maisha mwaka huu tu kwa miezi mitatu. Lakini hatujui ni Watanzania wangapi hasa wenye umri mkubwa na wale wenye matatizo mengine ni wangapi wamepotea. Mimi binafsi nimechanjwa na nilikuwa tayari kupigwa chanjo...
  14. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Dkt. Magufuli pigo kwa vijana wapenda siasa

    Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN. Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ametengwa au amejitenga na siasa za CCM na s=Serikali

    Waziri mkuu mstaafu Cleopa Msuya imekua nadra sana kumsikia wala kumwona katika shughuli mbali mbali za cha chama na serekali. Tangu nafuatilia siasa enzo za Rais Kikwetu sio mtu wa kuongea wa kushiriki jambo lolote la kitaifa Tofauti na wenzake akina J.S.Warioba, J.S Malecela, E.N Lowassa na...
  16. JamiiForums Tanzania Je, tutarajie Rais Samia Suluhu kumrudisha Paul Makonda tena kwenye mfumo wa siasa?

    Habari wadau! Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa. Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo ni jembe pia ni wembe akimrudisha tena itapendeza sana na atasaidia sana maana kama tunavyojua...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar. Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku. Amemalizia kwa kusema Mbeya...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana fanyeni siasa za haki ili tawala zinapobadilika muendelee kuaminika

    Huu ndio ujumbe wangu wa Jumapili kwa vijana wa Tanzania waliopewa nafasi za kuwa viongozi, Tafadhalini sana, tafadhalini jamani, madaraka ni dhamana ya muda mfupi mno, jitahidini kutenda haki kwa mujibu wa Katiba ya nchi, mkifanya hivyo hata mwisho wa madaraka yenu hamtaishi kwa mashaka na wala...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Siasa ni nini? Nani anastahili kufanya siasa?

    Nimekuwa nikisikia viongozi/watawala wetu wakituambia tuache siasa, tunatumika kisiasa ama tunaleta siasa. Najiuliza swali; Hivi siasa huwa ni nini na kwa nini tusifanye siasa? Siasa ni kwa ajili ya nani ama kundi gani katika jamii wanastahili kufanya siasa na kwa nini kwa wengine ikatazwe...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuwa Mwanasiasa

    Siasa ni mchezo mchafu, siasa ni uadui na vita, siasa sio nzuri. Hayo ni baadhi ya maneno nimeanza kuyasikia kitambo sana hadi leo. Mwanzoni nilikuwa naamini hivo pia, sikuwahi kufatiria kwanza kabla ya kuyakubali ila kwasababu niliyasikia hata kwa watu wazima hiyo ikatosha kuniaminisha. Nikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…