shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake huwa mna kasoro gani hata mliokwenda shuleni

    Hizi picha tatu zinaelezeza taarifa yote...
  2. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Una matatizo ambayo yanakusumbua lakini hujui wapi pa kuanzia kuyatatua?

    UNA MATATIZO AMBAYO YANAKUSUMBUA LAKINI HUJUI WAPI PA KUANZIA KUYATATUA? JE, unafikiri ni nani wa kulaumiwa kwa changamoto na matatizo yote unayopitia? Ni mzazi, mlezi, Ndugu, Jamii au serikali yetu? Na Je, unajua kuwa kusuluhisha tatizo lolote lile bila kujua chanzo chake, ni kama kushindana...
  3. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe kuendelea kuipamba Dar kwa flyovers wakati shuleni na hospitalini hakuna nyumba na vifaa vya kutosha

    Nimeona clip ya Polepole akimsifu Magufuli wakati akisoma kitabu ambacho nadhani ni ilani ya chama. Anachokitaja ni idadi ya flyovers zinazopangwa kujengwa; Moroko, Tazara, Magomeni, Mwenge, Chang’ombe na uhasibu, fire, Kinondoni, etc. Huu ni uhuni na ushenzi wa matumizi ya pesa ya taifa hili...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

    WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo kukamilisha masomo ya muhula wa pili wa mwaka huu, yatakayoendelea kwa wiki 11. Kwenye taarifa iliyotuma kwenye vyombo vya habari Jumanne, wizara hiyo ilifafanua kuwa ilifikia...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania UTAFITI WANGU: Kwanini wanafunzi wengi (jinsia zote) wenye maendeleo mabaya shuleni huwa ni watu wa kujituma sana katika shughuli ngumu za nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  6. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

    Kwa kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako. Wamechanganyikiwa kabisa hadi sasa wamebobea katika ulaghai. Mweeee! Embu msikie mwenyewe kiongozi wa MATAGA.
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Somo la namna ya kufikiria lifundishwe shuleni na vyuoni

    Mitaala ya shule za wazungu tangu shule za awali hadi vyuoni Kuna somo linalowafundisha wanafunzi namna ya kufikiria ( critical thinking and problems solving). Mfano, wazungu wanakwambia there is no free lunch (hakuna chakula Cha bure), lakini watanzania na waafrika wanashindwa kuuelewa huo...
  9. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hivi zile story tulizokuwa tunasoma shuleni bibi unamsaidia mzigo wa kuni kufika kwake anakupa zawadi hazipo?

    Kwema wakuu habari zenu? Nimejaribu kuwaza tu Tulipokuwa tunasoma au kuhadithiwa shuleni, hizo story kwenye maisha ya kawaida haya tunayoishi huwa havitokei kabisa Nimeona kuuliza maana mpaka kuandika huu uzi ni mambo mengi nafikilia natamani niwe natembea njiani nikutane na Bibi Mzee akiwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wale Tuliosoma Shule ya Sekondari Makongo JWTZ Tukutane hapa Tukumbushane Vibwanga vya pale shuleni

    Siku zinakimbia kwa kasi sana wakuu, leo nimeamka natoka kwangu ile kufungua geti nakutana na mwalimu wangu mjeda wa Makongo yeye ameshanisahau kabisa ananunua kiwanja kinachopakana na Mimi, baada ya kusalimiana na kubadilishana namba nimemuacha aendelee na ratiba zake. Nikaanza kukumbuka...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni

    Pia, soma Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi - JamiiForums
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, kabla ya watoto kurudi shule, wewe toka kwanza nyumbani kwako Chato rudi ofisini Ikulu

    Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake. Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo, taja somo ambalo ulikuwa hulipendi ukiwa shuleni

    Habari za mida hii ndugu zanguni kama kawa kama dawa, tupo tunalisongesha gurudumu la maisha na tupeane pole kwa Corona ila tujikinge na tuwakinge wengine. Basi baada ya hayo tuamie kwenye maada hapo juu! Tiririka ni somo gani ulikuwa hulipendi toka shule ya msingi, Mimi ni mathematics aisee...
  14. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Walimu waliofunga Shule wakutane Shuleni kwao walau siku moja au mbili kwa Wiki

    Habari Wadau, Kitendo cha Shule za Sekondari na Msingi kufungwa shule kwa ajili ya Corona, kumefanya baadhi ya walimu kuhama maeneo yao ya kazi na kurudi makwao na wengine wako palepale ila wanalewa balaa. Madeni kibao na matukio mengine ya ajabu. Kuna uwezekano mkubwa baada ya shule...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Dr Abbas ambaye ni msemaji mkuu wa serikali anasema wanafunzi wanaopata mimba shuleni hawatarudi kuendelea na masomo katika mfumo rasmi bali wataruhusiwa kupitia mfumo usio rasmi yaani private candidates. Abdul Nondo boss wa vijana pale ACT wazalendo anapinga vikali yeye anataka wanafunzi hawa...
  16. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

    TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU. 1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini. 2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
  17. Zawadi Mkweru

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Bullying na jinsi wazazi wanavyochangia kutokea kwa unyanyasaji huu unaowaathiri sana watoto wawapo shuleni

    Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika. Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo. Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

    Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu. Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
  20. bahati93

    JamiiForums Tanzania Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
Back
Top Bottom