shule

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Shule ya Awali ya Feza Wajifunza Mbinu za Kujiokoa Wakati wa Moto

    Dar es Salaam – Katika siku ya Ijumaa ya Agosti 22, 2025, wanafunzi kutoka Shule ya Awali ya Feza jijini Dar es Salaam walionekana wakifanya mazoezi ya kipekee ya namna ya kujiokoa iwapo jengo linawaka moto. Wakiwa chini ya uangalizi wa walimu wao na maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa...
  2. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

    Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie. Huu sio uungwana kabisa
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maafisa Elimu wawe wanapitia Shule zao kukagua Chakula wanafunzi Mashuleni

    Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka. Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule kiasi kwamba mahindi husagwa yakiwa na dawa na kupelekea kwa shule wanazokula dona au mahindi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2012 shule nyingi zilikuwa zinatoa division one hadi three za kuhesabika. four na zero zaidi ya 90%

  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

    Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  8. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  9. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Basi la Shule – Malipo ya Awamu 🚍 TABORA

    Habari, Tunatafuta mtu au kampuni inayoweza kutupatia school bus kwa mpango wa malipo ya awali (down payment) na kisha kumalizia kulipia kwa awamu. Shule ipo Tabora na basi litakuwa kwa matumizi ya kusafirisha wanafunzi. Kama una au unajua kampuni/mtu anayeweza kutoa huduma hii, tafadhali...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Chaumma wakisomba watu kuelekea Mkutanoni hapo Tabata Shule

    GT Wonders shall never end leo chauma wanakazi moja tu kusomba.watu kutoka viunga mbalimbali vya Tabata kwa ajili ya mkutano. Naona wanafauta nyao za wafadhili wao. Leo daladala zimepata tenda nzuri. NRNE
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: 2015 nilikuta shule za msingi zipo 19 tu, sasa hivi zipo 63

    Wakuu, Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu? Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa...
  13. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  16. Dialogist

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Shule Ya Uongozi Ya Polepole Mwaka 2021.. Sikiliza Upate Kujua Jambo

    Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Kazi yangu kubwa leo ni kusoma tu Comments zenu ili nicheke na nisikitike.
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  19. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kwa Aliyesoma Education

    Ajira kwa aliyesoma Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4. Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu ya cheti, diploma au degree. Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
Back
Top Bottom