shule

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tukuletee vitabu mtalaa

    Tutume nasi tunakuletea kwa haraka... Kazi ya uhakika, weka order ufurahie huduma zetu... Maisha yanakuwa rahisi unapokuwa na Trumark Stationery & Books Just call us 0765 76 76 96
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  4. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tamisemi/wizara ya elimu: wathibiti ubora wa shule wateuliwe kutoka miongoni mwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu, kuboresha zaidi ufundishaji/ujifunzaji

    Wakufunzi ndio wanaokesha na mbinu za ufundishaji na ujifunzaji mavyuoni ndiyo wanaojua mbinu gani zitumike ili kuboresha Elimu yetu, ni vema wakatufata pia mashuleni wanatukagua wao kama walimu wa ualimu. Hivyo basi ni vema hii Kaz ya uthibiti UBORA wa shule iwe chini ya wakufunzi isimamiwe na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali Mkoa Kagera yaanzisha Operesheni maalum kukagua Afya na Usalama wa Wanafunzi shule za serikali na binafsi

    Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi. Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT waibua madudu ya CCM Lindi, shule yenye wanafunzi 800 na Walimu wanne

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa kuborsha elimu ambayo kwa sasa inatolewa kwa matabaka Soma pia...
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Radio na TV sasa zitarudi katika ubora wake ikiwa wamewazuia watu ambao hawajaenda shule kutangaza

    Kwa hili Serikali imefanya jambo jema Sana . nasikia Chumvi amelimwa kichwa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo...
  9. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Mtu yupo na shule ila anahitaji mwalimu competent ambaye ataisaidia shule kuhakikisha inakua naomba tuwasiliane

    Habari wakuu . Mimi ni Mwalimu ambaye nafundisha kuanzia Kindergarten mpaka form six . Kama upo na Shule ambayo unahitaji kuikuza kupitia Mwalimu competent . Uwezo wangu upo katika haya maeneo . Kufundisha Kufanya mentoring Kuwashawishi wazazi ili wawalete wanafunzi kujiunga katika shule...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa mahitaji maalum Simiyu wapata misaada ya shule

    Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Sima A iliyopo katika Hamlashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu wamepatiwa misaada mbalimbali kwa matumizi ya shule Misaada hiyo imetolewa na waendesha baiskeli kutoka Dar Es Salaam kuelekea wilaya ya Butiama mkoa wa Mara kwa lengo ni...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi wake wa Darasa la Tatu mwenye umri wa Miaka 7, kinyume na kifungu cha 154(1)(a) na (2) cha Kanuni ya...
  12. DR VRM

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  14. amarina

    JamiiForums Tanzania Sekondari ya Jokate Mwegelo ni shule ya serikali au binafsi?

    Habari Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule. Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya. 1. Vipaji maalumu 2. Mbweni 3. Teule 4. Kitaifa Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip? Naomba ufafanuzi
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2025

    Wakuu Haya sasa matokeo ya kidato cha 6 yametoka rasmi. Kama kawaida ufaulu umeongezeka Matokeo yote yanapatikana kupitia tovuti ya NECTA au unaweza kwenda moja kwa moja kupitia link Matokeo Ya Kidato Cha 6 Mwaka 2025
  16. mager6

    JamiiForums Tanzania Kuna shule moja inaonyesha anguko matokeo

    Hizi shule za binafsi tusiziamini sana Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
  17. Sonship

    JamiiForums Tanzania ENEO LA SHULE LINAUZWA AU KUKODISHWA GOBA MATOSA

    ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY LINAKODISHWA AU KUUZWA kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua. Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Dar esalaam Matosa, Goba na lina Madarasa 4,Nyumba 1 ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza vitabu vya shule mtalaa mpya

    Trumark Stationery & Books ni wakala wa vitabu vyote vya shule vya mtaala mpya. Ukinunua vitabu kwa wakala una uwezo mkubwa wa kupata punguzo la bei. Vitabu kuanzia shule ya awali, msingi na Sekondari. Vitabu vyote vya darasani na mazoezi. Popote ulipo Tanzania tunakuletea. Tupigie 0765...
  20. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
Back
Top Bottom