shule

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuna shule Morogoro ilipokea 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25 ili kufinance elimu bure

    Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mikoa iliyoongoza kwa wanafunzi wa sekondari kuacha shule kwa mwaka 2024

    Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448. Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shule za sekondari 355, zina waalimu chini ya 10

    Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10. Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna shule za Mbeya hazipokei Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kama hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri. Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Mwenyekiti wa Bodi: Shule ya Sekondari Nyampulukano idadi ya Wanafunzi waliohitaji kujiunga kwetu ni wengi kuliko uwezo wa shule

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  9. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya Shule ya Muhamani - Kigoma Vijijini vimejaa, Wanafunzi hawana pa kujisaidia

    Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.
  10. kanjuki

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii michango ya shule za umma kuna harusi ya ufisadi

    Habari ndugu watanzania wenzangu, sera ya elimu kwa sasa katika shule za umma ni elimu bure yani wewe mzazi jukumu lako mzazi ni kumuandaa mtoto na kuhakikisha mtoto anafika shule, lakini katika uhalisia ulivyo kwa uchunguzi wangu unakuta michango ambayo unatoa ili mtoto apokelewe shule ukipiga...
  11. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona sare za shule

    Habari za Usiku? Natafuta fundi mzuri wa kushona sare za shule ya msingi na chekechea aliyopo Tanga mjini. Fundi awe anajua kushona na pia kuleta machine yake/zake na kushonea sare ilipo shule. Kwa anayemjua fundi mzuri,tuwasiliane PM.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Elimu bure lakini Shule ya Nyampulukano – Sengerema kuna upigaji mkubwa. TAKUKURU walifanya kazi yao, 'wakapozwa' wakaingia 'mitini'

    Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
  13. Foffana

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili yametoka, kumbe kuna shule zenye majina haya?

    Kumbe hizi shule zipo Job Ndugai High school Janeth Magufuli Secondary School Jenister Mhagama Secondary School Joel Bendera High school Janeth Magufuli Girls Secondary School Juma Zuberi Homera Secondary School January Makamba Secondary School Dr Tulia Girls Secondary School Daniel...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Heche: UDSM wamezuia kongamano la DUPSA mjadala

    Anandika John Heche kuwa; "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano. Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua faida ya kumpeleka mtoto shule akiwa na miaka 3

    Nimegombana na mwanamke sababu anataka tumpeleke mtoto shule na mm nimemwambia mtoto mpaka afikishe miaka 4 ndo tumpeleke. Je Kuna hasara gani naipata nikimchelewesha mtoto shule? Nafaida gani naipata nikikawahisha kakiwa na miaka 3
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

    Hii sio haki kabisa. Tunawajengea Wazanzibari mbona hapa Tanganyika hakuna shule kama hii?👇
  17. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nipeni shule ya DSE (Dar es salaam Stock Exchange)

    Kwa muda mrefu nimekua nikitamani kua na hisa kwene makampuni tofauti tofauti kama voda,crdb na nmb sasa nimeona hii DSE,,,, maswali je kununua na kuuza kupitia DSE ni sawa tu na ningeenda manual kuwekeza crdb?? au n tofauti Je DSE ukinunua hisa inachukua muda kuonekana kwene acc yako...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

    Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026. Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu. Nipo hapa kuomba mtu anayeelewa anisaidie maana naona nimemshauri sana hataki, kwa hiyoo nahitaji kwenda kwenye Sheria...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Sikiliza huyu mzazi, mtoto wake alifukuzwa shule ili aende VETA kisa uwezo mdogo, mzazi akakaza form four akapata zero

    'Kuna Mwalimu wa shule ya sekondari nilimpeleka mwanangu kidato cha kwanza siku chache baadae mwanangu akarudi na fomu ya veta nilipomuuliza mwalimu akasema mwanangu inatakiwa aende veta sababu anauwezo mdogo' amesema mzazi
Back
Top Bottom