shule

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  2. amarina

    JamiiForums Tanzania Sekondari ya Jokate Mwegelo ni shule ya serikali au binafsi?

    Habari Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule. Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya. 1. Vipaji maalumu 2. Mbweni 3. Teule 4. Kitaifa Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip? Naomba ufafanuzi
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2025

    Wakuu Haya sasa matokeo ya kidato cha 6 yametoka rasmi. Kama kawaida ufaulu umeongezeka Matokeo yote yanapatikana kupitia tovuti ya NECTA au unaweza kwenda moja kwa moja kupitia link Matokeo Ya Kidato Cha 6 Mwaka 2025
  4. mager6

    JamiiForums Tanzania Kuna shule moja inaonyesha anguko matokeo

    Hizi shule za binafsi tusiziamini sana Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
  5. Sonship

    JamiiForums Tanzania ENEO LA SHULE LINAUZWA AU KUKODISHWA GOBA MATOSA

    ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY LINAKODISHWA AU KUUZWA kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua. Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Dar esalaam Matosa, Goba na lina Madarasa 4,Nyumba 1 ya...
  6. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tunauza vitabu vya shule mtalaa mpya

    Trumark Stationery & Books ni wakala wa vitabu vyote vya shule vya mtaala mpya. Ukinunua vitabu kwa wakala una uwezo mkubwa wa kupata punguzo la bei. Vitabu kuanzia shule ya awali, msingi na Sekondari. Vitabu vyote vya darasani na mazoezi. Popote ulipo Tanzania tunakuletea. Tupigie 0765...
  8. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  9. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Wakuu , Natafuta Shule ya kufundisha Zanzibar kwa secondary au primary

    Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza. Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba. Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary. Masomo ya social studies yote. History Civics Kiswahili English...
  10. mindchaser

    JamiiForums Tanzania Jipatie vifaa vya maabara, Reagent za maabara, kemikali za viwandani, Vifaa vya kutibu maji (Water treatment consumables) Kwa bei rafiki

    Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)— Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako Tunahusika na usambazaji wa: 🧪 Reagents za Maabara (Lab Reagents) 🔬 Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments) ⚗️ Kemikali za...
  11. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Walio Tuambia Shule Ni Ufunguo Wa Maisha Wametupiga

    Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha? Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa Ni hayo tu!
  12. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Kwa tulioenda shule, hii kauli ya Trump ilikuwa ya mzaa saana kwa Iran

    "TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!” ...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa Iran, na inaonekana kulenga kubeza au kupuuza mafanikio ya shambulizi la Iran dhidi ya Israel. 🧠...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  14. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Zungu: Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB itazalisha wahitimu wenye ujuzi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
  15. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  16. Livanga

    JamiiForums Tanzania Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
  17. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Serikali inaruhusu watoto waendelee kwenda shule wakati wa likizo kumbe ina ajenda yake

    Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao. Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwiano usio sawa wa walimu shule za msingi Moshi manispaa

    Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi. Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya English Medium Mlowo inalazimisha wanafunzi darasa la nne kusoma hadi saa nne usiku wakati wa likizo

    Wakuu, nilikuwa sehemu nikakuta wazazi wanalalamika kuwa wamepeleka watoto shule ya English medium Mlowo iliyopo Mbozi mkoa wa Songwe ambayo inapokea wanafunzi wa day na boarding. Sasa muda wa likizo uongozi wa shule umedai wanafunzi wa darasa la nne hakuna kufunga wataendelea na masomo...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu (TET) yawatuza Walimu waliofanya vizuri Stadi za Ufundishaji Shule za Msingi na Sekondari

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, akisema kuwa tuzo zinazotolewa kwa washindi zinaleta motisha na kuwatia hamasa walimu...
Back
Top Bottom