Watoto wa mijini wanawahi kuelewa mambo mapema.
Wanajifunza mambo mengi nyumbani yale ambayo zamani tulijifunzia shule. Nyimbo, kuhesabu, abcd, na a e i o u.
Kama haitoshi wanafundishana wenyewe wakiwa wanacheza. Mfano juzi mwanangu wa miaka miwili kaja ananiimbia da de di do du. Amefundishwa...