shule

  1. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kwa wasomi wetu, kuwa na akili bila udadisi ni sawa na kutokwenda shule kabisa

    Akili ya binadamu ni utajiri wenye nguvu zaidi kuliko tunavyoongozwa kuamini katika elimu rasmi ya kitaaluma tunapokuwa shuleni au chuoni. Nachukia sana watu wanapochanganya akili na elimu. Unaweza kuwa na shahada na bado ukawa mjinga kwa kuamini unajua kila kitu! Elimu inakuwa na manufaa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wasichana 3,333 warejeshwa shule, ni waliokataliwa na serikali ya hayati Magufuli

    Wasichana 3,333 sawa na 111% wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21 waliokatisha masomo ya elimu ya sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokana na mazingira magumu, kupata ujauzito na ndoa za utotoni wamerejeshwa shuleni mwaka 2021/2022. Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima(TEWW), Dk...
  3. Amina68

    JamiiForums Tanzania NECTA yathibitisha tuhuma alizotoa mwanafunzi wa Chalinze Modern Islamic ni za kweli, Yaifungia shule

    Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kataza wanafunzi kulazimishwa kwenda na madaftari yote shule

    Huwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Shule kama Precious Blood, Anwarite Girls na Maua Hazina Pre form one

    Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

    Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tamu ya Force Account, watendaji Muheza watimuliwa kazi, TAKUKURU kufanya uchunguzi, shule haijakamilika

    Kwa wanasayansi, wanasema" don't re-invent the wheel". Ndicho tunachoona kwa baadhi ya miradi ya serikali kwa sasa inayojengwa kwa FORCE ACCOUNT. Serikali mkoani Tanga inalia na watendaji wake. Waliagizwa huko Muheza kujenga shule ya sekondari, darasa moja kwa milioni 20, wao kwa ubishi na...
  9. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Hivi wanafunzi wanaosoma shule za kata wana matatizo gani?

    Matukio yanayonihuzunisha 1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema 2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo 3.Yaani shule wanaingia saa 4 Kuhusu taaluma 1.Kufaulu 1 kati ya 120 2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2 3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari 4.Akienda...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Askari wa kidini Iran waanza kuingia kwenye shule za wasichana na kufanya mauaji kwa wanaoshukiwa kuandamana

    Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu.... Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel.... Security forces are increasingly raiding schools and...
  11. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Habari watanzania! Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tujenge Utamaduni wa Kutoa Misaada kwa Shule za Chekechea, Msingi na Upili tulizosoma

    Nikibahatika Kumpiga Mhindi (kwa Kubeti) katika Mechi niliyobeti (weka Mkeka) Yanga SC anafungwa 3 kwa 0 na Al Hilal FC Kesho Jumapili na kupata Millioni zangu 320 nataka nichangie Millioni Tano Tano kwa kila Shule niliyosoma kisha nitamrushia Tsh 600/= kila Jamiiforums Member ya Kununua Soda...
  13. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Nilimpiga Mwalimu akahama shule

    Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, wizi, hiyo shule ina O level na A level. Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Ulongoni A yakabiliwa na uhaba wa maji vyoo vya wanafunzi

    Shule ya Sekondari Ulongoni A iliyopo Kata ya Gongolamboto inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo uzio, miundombinu chakavu kwa baadhi ya madarasa na maabara. Imeelezwa kuwa hali hiyo inachangia utoro kwa wanafunzi wengi pindi wanapohitaji haja binafsi na nidhamu ya ufaulu kushuka. Mkuu wa...
  15. Hassan Enzi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shule ya kufundisha kwa kujitolea

    Natafuta shule ya KUJITOLEA nafundisha masomo yote ya shule za msingi. Pawepo na angalau ya maji. Mana kitaa kinachosha
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi wilayani Kiteto

    Wilaya ya kiteto iliyoko mkoani Manyara, inakabiliwa na upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi hivyo Serikali na wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana kutatua changamoto hiyo, ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi. Chanzo: ITV
  18. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

    Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya Watoto 100 wakosa elimu kutokana na kitongoji kukosa shule

    Zaidi ya Watoto 100 wa Kitongoji cha Maloweke Wilayani Gairo wamekwama kupata elimu ya shuleni licha ya kuwa na umri wa kwenda shule kutokana na kukosekana kwa shule katika eneo wanaloishi. Inaelezwa shule za karibu zipo umbali wa kilometa 11 kutoka eneo, hali inayowapa ugumu Watoto kutembea...
  20. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule nzuri ya sekondari yenye bweni, ada nafuu Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM. Mtoto ni wa kiume Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi. Ahsante
Back
Top Bottom