Habari Gani Mataalam.
Aisee kina bwana mdogo wangu amefaulu anataka kwenda FormV. Kwa sababu hapa ni nyumbani kwa wajuzi naomba mnisaidie shule nzuri ya formV kwa kuzingatia haya.
1. Mchepuo wa sayansi
2. Iwe mchanganyiko(Girls&Boys)
3. Ada iwe around 2M-3M
Thanks
Ushauri wangu kwa serikali ifikie wakati na kugawanya shule zenye wanafunzi wengi kuwa shule ndogo ndogo zinazojitegemea, fikiria shule moja kubwa unakuwa na wanafunzi 400 ambao wamepata zero.
Kama tunataka ufanisi ni wazi kuwa tunatakiwa kuwa na shule ambazo hazitakiwa kuwa na wanafunzi zaidi...
Habari wakuu?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameomba kufanya KIKAO MAALUM na Wakuu wa Sekondari zote 27 za Jimboni mwetu.
SEKONDARI 27:
*25 za Kata/Serikali
*2 za "private"
(KATOLIKI & SDA)
SIKU/TAREHE YA KIKAO:
*Ijumaa, 3.2.2023
MUDA:
*Saa 3 Asubuhi
MAHALI:
*Busambara...
Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana.
Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
Hello walimwengu.
Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
WanaJF,
Haiwezekani wanafunzi wafaulu vizuri sana mtihani wa darasa la Saba halafu kidato Cha nne wafeli kiasi hicho.
Huko sekondari wanafunzi mmewafanya nini?
Hebu kama kuna walimu hapa jamvini tujadili hili suala.
Tunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo
Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia
Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani
Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya ufaulu
Hii hatua SERIKALI naipongeza sana wizi wa mitihani kwa udanganyifu utaisha
Sasa watoto watapata...
Mazoea hujenga tabia. Huu utaratibu wa number ndo unashhusha quality ya elimu. Haiwi problem solving based. Yaani ni banking model inatumika. Pump watoto hadi kieleweke. Ndo maana mtoto wa form One anjifunza mambo ya form 3.
Sasa huyo atapata muda wa kujadili mada viz a viz inavyoweza...
DAR kuna Tatizo Mahali. Katika mkoa ambao wanafunzi wame fail Zaidí ni DAR.
Kwa sasa DAR Siyo sehemu salama Kwa elimu ya mtoto.
Pamoja na facilities kibao lakini performance ni Mbovu sana kupita mikoa yote.
Huenda Tatizo la malezi, strarehe na mazingira ya shule ni Tatizo kubwa.
Ni aibu jiji...
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.
Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu.
Sera ya Elimu yetu
Mfumo wa Elimu yetu
Mitaala
Ubora
Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira
Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira
Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri kwamba watoto wake aidha wanasoma au walisoma shule nzuri za private .
Ametuambia NI vigumu...
Siku ya leo, Baraza la Taifa la Mitihani Nchini Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kufuta utaratibu wa muda mrefu wa kutoa orodha na mtiririko wa ubora wa shule kulingana na kiwango cha ufaulu na pia limefuta utaratibu wa kutangaza wanafunzi bora wa mitihani hiyo. NECTA...
WanaJF
Kwanza nianze kwa kusema ya kuwa, nimefanikiwa kufika kwenye shule mbalimbali nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge.
Shule hizo, nyingi nilizifikia mwaka wa masomo wa 2020 na 2021.
Kiufupi, nilifikia shule kwa orodha ifuatayo.
Wilaya ya Geita
1. Halmashauri ya wilaya ya Geita...
Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne
Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania NECTA Athumani Salumu Amasi amesema utaratibu huo wa kutangaza shule bora ulikuwa unazitangazia biashara baadhi ya shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.