Habari zenu wa ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho.
Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
Habarini wana-JF wenzangu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, ninawakumbusha wazazi/walezi wenzangu kwamba, tutenge muda mapema hii kuwanunulia watoto wetu vifaa vya shule, kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima.
===============
Zikiwa zimesalia wiki mbili muhula mpya wa...
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022.
Hali hii imekwenda mbali...
Tuition nyumbani
Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada.
Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi.
PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm.
0622374787 or PM to get my email
Kwa sisi watu tuliopata bahati ya kusoma maandiko Bible na Quruan huwezi kuona tunabishana kuhusu dini, maana maandiko ndiyo Maisha tulionza kuyaishi takribani miaka 7 hadi leo tumekuwa watu wazima.
Kwahiyo, hizi ligi zenu kuhusu dini sahihi kati ya christian na uislamu, jibu ni moja; soma...
Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia].
Baada ya kushtaki kwa mwalimu wa darasa kesi ilifika kwa mkuu wa shule, taratibu za uwajibishwaji zilifanyika kwa...
Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail.
Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina.
Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
1.0 Waungwana Habari zenu!!
Mimi nina wazo hivi kwanini hawa Walimu wetu waliomaliza Vyuo Miaka nenda rudi na hawa watu wa Afya tusifikirie kivingine kuhusu swala la Ajira.
Serikali inayo nafasi ya kuwasaidia hawa kwa mlango mwingine
Mathalani badala ya kuendelea kujenga shule na vituo vya...
Hello wanajukwaa,
Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!?
Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu!
Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo...
Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi.
Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Hanifa Suleiman kujenga ukuta kuzunguka Shule ya Msingi Boko Mtambani ili kuleta amani na usalama shuleni hapo.
Shule hiyo imejengwa karibu na eneo la makaburi yanayodaiwa kuwa na matukio ya mauzauza...
Mimi labda sijaelewa.
Unakuta shule ya msingi A, ina wanafunzi 123 waliomaliza darasa la saba na wamafaulu wote kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023.
Cha kushangaza wanafunzi wote wa hiyo shule ya msingi A wamepangiwa shule moja tu ya sekondari iliyopo kwenye hiyo kata kujiunga na kidato cha...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda, ametoa siku saba kwa uongozi wa Wilaya ya Maswa mkoani humo, kuhakikisha unakamilisha kuandikisha watoto 24,000 wanaotarajiwa kuanza masomo ya darasa la kwanza na awali wilayani humo.
Aidha, Dk. Nawanda amemuagiza Mkuu wa Polisi pamoja na Mkuu wa...
Kama kichwa kinavyojieleza suala la kuvunja shule ya msingi kwa kisingizio kuwa kujenga shule ya secondari SI SAWA kabisa kwani, na hili tatizo naona linataka kushamiri
Maeneo yapo mengi ya ujenzi, unawakosesha watoto haki zao za msingi kwani mtoto anaenda kuanza mazingira ambayo alikuwa...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.
Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
SERIKALI imeagiza mabasi yote yanayobeba wanafunzi kuwa na kondakta wa kike na mabasi yote yafungwe Camera maalum.
Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dk. Dorothy Gwajima ametoa agizo hilo alipokuwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe katika...
Shule ya msingi ikifutiwa matokeo au ikishikiliwa (withheld) matokeo kwa kosa la uongozi wa shule kufanya udanganyifu nini kinafuata ili watoto waweze kuchaguliwa kuendelea elimu ya upili( secondary)?
~ Watarudia mitihani?
~ Watapewa muda gani kujiandaa na mitihani?
~ Kuchaguliwa shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.