shule

  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kumkamata Aliyepiga picha watoto wakiwa chini ni kumuonea, zipo shule nyingi watoto wanakaa chini

    Kufuatia sakata la picha liyopigwa ikionesha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinde wakiwa wamekaa wakisoma chini bila madawati na Serikali ikionekana kung'aka kwa kumuweka ndani anayesemekana kupiga picha hiyo ni sawa na mbuni kujifunika kichwa huku mwili ukiwa nje na akidhani kajificha. Soma...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanafunzi wa Shule za Msingi za Umma waruhusiwa kuvaa Suruali

    WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira ya Mkoa huo uliopo nyanda za juu Kusini, kuwa na baridi kali. Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi na...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Madarasa 6 ya Shule ya Msingi yaliyojengwa kwa Milioni 64 yazinduliwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 07.02.2023 amezindua vyumba sita (06) vya madarasa katika Shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji cha Katunduru, Kata ya Ilima. Mradi wa ujenzi wa vyumba hivyo umetekelezwa na Kampuni ya Bioland kupitia Mradi wa Cocoa for School kwa gharama ya...
  4. Kalebejo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Michango shule ya msingi Kilimahewa tishio

    Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la shule ndiyo sababu ya shule nyingi kufa na kuibuka mpya

    Elimu inatakiwa kufika kila kona ila sio elimu ili mradi elimu tu. Nilitembelea shule moja iliyopo Yombo Vituka ya wazazi, kiukweli ni kama imebaki magofu ukilinganisha kipindi cha 2008 kushuka chini. Miaka ya nyuma kulikuwa na shule chache zenye ubora na kutoa idadi nzuri ya wanafunzi ila kwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

    Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022. Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃 List imetawaliwa na #TeamMnyaazi Source: Malisa GJ instagram account
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ahmed ''Mnubi'' Johari: Yanga walimtoa shule achezee ''Kwala'' (Kuala Lumpur)

    AHMED MOHAMED JOHARI (MNUBI) YANGA WALIMKATISHA MASOMO SEKONDARI ACHEZE MPIRA Picha hiyo hapo chini inatoka kwa Sunday "Computer'' Manara na yeye kaipata kwa kaka yake Kitwana ''Popat'' Manara. Caption ya picha ni kutoka kwake Sunday: ''Waliosimama/kuanzia kushoto, Golikipa- Haji Masajage...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

    Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto...
  9. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya form V

    Habari Gani Mataalam. Aisee kina bwana mdogo wangu amefaulu anataka kwenda FormV. Kwa sababu hapa ni nyumbani kwa wajuzi naomba mnisaidie shule nzuri ya formV kwa kuzingatia haya. 1. Mchepuo wa sayansi 2. Iwe mchanganyiko(Girls&Boys) 3. Ada iwe around 2M-3M Thanks
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ni vyema shule zenye wanafunzi zaidi ya 1000 zivunjwe ili shule zisiwe na zaidi 600

    Ushauri wangu kwa serikali ifikie wakati na kugawanya shule zenye wanafunzi wengi kuwa shule ndogo ndogo zinazojitegemea, fikiria shule moja kubwa unakuwa na wanafunzi 400 ambao wamepata zero. Kama tunataka ufanisi ni wazi kuwa tunatakiwa kuwa na shule ambazo hazitakiwa kuwa na wanafunzi zaidi...
  11. tpaul

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (sekondari 27) za Musoma vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameomba kufanya KIKAO MAALUM na Wakuu wa Sekondari zote 27 za Jimboni mwetu. SEKONDARI 27: *25 za Kata/Serikali *2 za "private" (KATOLIKI & SDA) SIKU/TAREHE YA KIKAO: *Ijumaa, 3.2.2023 MUDA: *Saa 3 Asubuhi MAHALI: *Busambara...
  13. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania NECTA Mjitafakari sana: Awamu ijayo tungeni mitihani tofauti tofauti kulingana na aina za shule kwa mizania yenu

    Hello walimwengu. Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini shule zetu za kata?

    WanaJF, Haiwezekani wanafunzi wafaulu vizuri sana mtihani wa darasa la Saba halafu kidato Cha nne wafeli kiasi hicho. Huko sekondari wanafunzi mmewafanya nini? Hebu kama kuna walimu hapa jamvini tujadili hili suala.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hongera NECTA kwa kuondoa kupanga shule zilizoongoza

    Tunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya ufaulu Hii hatua SERIKALI naipongeza sana wizi wa mitihani kwa udanganyifu utaisha Sasa watoto watapata...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo na madaraja ya shule

    Mazoea hujenga tabia. Huu utaratibu wa number ndo unashhusha quality ya elimu. Haiwi problem solving based. Yaani ni banking model inatumika. Pump watoto hadi kieleweke. Ndo maana mtoto wa form One anjifunza mambo ya form 3. Sasa huyo atapata muda wa kujadili mada viz a viz inavyoweza...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania DAR Performance ya shule nyingi ni Mbovu kupindukia

    DAR kuna Tatizo Mahali. Katika mkoa ambao wanafunzi wame fail Zaidí ni DAR. Kwa sasa DAR Siyo sehemu salama Kwa elimu ya mtoto. Pamoja na facilities kibao lakini performance ni Mbovu sana kupita mikoa yote. Huenda Tatizo la malezi, strarehe na mazingira ya shule ni Tatizo kubwa. Ni aibu jiji...
  19. Leak

    JamiiForums Tanzania kwa matokeo haya kuna uwezekano skuli ya Mwanakwerekwe B ni kinara kwa ufaulu uko zanzibar?

    Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi. Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe mazingira ya shule zake iache kubadili gia hewani, fikra za Ushindani ni muhimu

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu yetu Mitaala Ubora Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
Back
Top Bottom