shule

  1. Makamura

    Theluji Yaipiga sehemu kubwa za Uingereza; zaidi ya shule 100 zimefungwa, usumbufu wa usafiri unatarajiwa

    Yellow Weather imekuwa ikitoa tahadhari ya hali ya baridi kati katia maeneo ya Uingereza. Usiku wa kuamkia leo Hali joto ilishuka sanaa chini ya Nyuzi joto za Barafu na kusababisha baridi kali sanaa na Barafu kushika katika Miji mingi ambayo imepelekea barabara Kufunikwa kwa Theluji na kuleta...
  2. L

    Ni Kipi Chanzo cha Moto Bweni la Watoto Shule ya Msingi Green Hill Pugu Kajiunge Dar es Salaam?

    Moja ya Bweni la shule ya Msingi ya green hill iliyoko Pugu Kajiungeni,Ilala Dar es Salaam liliungua moto tarehe 9.01.2024 (Siku moja naada ya kufungua shule) na baadhi ya wtoto kujeruhiwa vibaya, Hatujasikia vifo. Ila hakuna taarifa ya chanzo cha moto huo na pia taarifa kamili ya athari...
  3. passion_amo1

    Mkuu wa shule ya Green Hill tunaomba majibu yanayoeleweka

    Wakuu habari za uzima? Leo nimerudi toka mishe mishe zangu nakutana na taarifa mbaya na za kushangaza kwa wakati mmoja. Binafsi kipindi nataka kumpeleka shule mwanangu chaguo langu la kwanza ilikuwa ni shule ya Green Hill iliyopo pugu kona. Lakini mama yangu alinichagulia ABC mbadala wa Green...
  4. LIKUD

    Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara. 1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana sheria ya Ndoa ya mwaka 71 inasema kwamba mtoto wa kike Muumini wa dini ya kiislamu anaruhusiwa kuingia...
  5. F

    Tanzania haiwezi kuendelea kwa sababu Makanisa na Misikiti ni Mingi sana kuliko idadi ya Viwanda, Hospital na Shule

    Huu ni ukweli mchungu. Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda. Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule...
  6. passion_amo1

    Serikali inapaswa kuendelea kufanya maboresho katika uchaguzi wa shule za kata

    Wakuu habari za uzima? Leo nimeona nigusie kidogo kuhusu shule za serikali zinapofanya uchaguzi kwa wanafunzi waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari kutokea msingi. Kama sitakuwa na nimekosea mchakato wa kumuhamisha mwanafunzi kutoka shule aliyopangiwa kwenda shule nyingine huwa ni...
  7. Melki the Storyteller

    Shule ipi humjenga mwanafunzi kiakili, kifikra pamoja na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?

    Je, ni shule za Serikali? Ama ni shule za watu binafsi? Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
  8. GoldDhahabu

    Ni halali mzazi kumwachisha mtoto shule ili akamhudumie?

    Kipindi fulani, nilifuatwa na kijana mmoja aliyekuwa akiishi jirani na nilikokuwa nikifanyia kazi, na kuniomba nimsadie kumtafutia nafasi ya kujifunza masuala ya ufundi kwenye kampuni fulani. Alikuwa bado kijana mdogo, under 18. Aliamua kutafuta hiyo nafasi baada ya kufeli mitihani ya kidato cha...
  9. aise

    Una maoni gani kwa matokeo haya ya kidato cha pili Shule ya Diplomasia inayopatikana Dar?

    Kwa matokeo haya una maoni gani? Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
  10. Roving Journalist

    Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa. Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
  11. DOKEZO

    Accounting Software kwa ajili ya shule

    Habari wakuu. Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema. Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and...
  12. Fintan20

    Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  13. LIKUD

    Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope" Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza. Watoto...
  14. Roving Journalist

    Katavi: Baadhi ya Shule hali ya kuripoti Wanafunzi hairidhishi Mwaka 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameagiza watendaji wote wa Mitaa na Vitongoji wakishirikiana na maafisa elimu kuhakikisha wanatoka maofisini na badala yake wawatafute Wanafunzi wote wanaopaswa kuwa shule ili kuendelea na masomo. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kufanya ziara katika...
  15. Sodium 23

    Wazazi kuweni makini na shule zinazofaulisha sana (Top schools)

    Habari wakuu, Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule zote ila wengi wao ndio walivyo. Ni kweli watoto wanaosoma kwenye shule hizo hufanya vizuri...
  16. JanguKamaJangu

    Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku shule kuweka michango ya lazima ambayo inawanyima Watoto kwenda shule. Pia Soma: - Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani - Malalamiko yaendelea kuhusu malipo...
  17. ladyfurahia

    Tunaprint tshirt, caps, uniform za shule, calendar na diaries za 2024

    Habari zenu wadau Habari Onana nasi NESSA PRINTING kwa huduma zifuatazo kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA (PRINTING): Calendar, Diaries, Tshirt(Embroiders. Computarize, Screen printing) Mugs, Stickers, Posters, Magazines, Annual Reports, Books (such as: Proforma invoice, Receipts...
  18. Bushmamy

    Kilimanjaro: Shule ya Msingi ya Serikali yaandikisha Wanafunzi watatu (3) kuanza Darasa la Kwanza

    Mlembea, ni moja ya Shule ya Serikali iliyopo Wilaya ya Rombo katika Tarafa ya Mashati Mkoani Kilimanjaro ambapo kwa Mwaka huu wa 2024 imeandikisha Wanafunzi watatu tu (3) kuingia darasa la kwanza kitu ambacho sio kawaida. Shule hiyo ya Msingi Mlembea jumla ya idadi ya wanafunzi katika shule...
  19. Roving Journalist

    Katavi: Wazazi watakiwa kuhakikisha wanawapeleka Shule Watoto wao

    Wazazi na Walezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametakiwa kuwapeleka Watoto shule ili kuanza masomo kwa muhula wa kwanza ambao umeanza rasmi hii Januari 8, 2024. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Dkt. Alex Mrema amesisitiza Watoto wote wenye umri wa kuwa...
  20. A

    DOKEZO Hali ni mbaya sana Shule ya Msingi Kitanda - Mbinga TC

    Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
Back
Top Bottom