Muhimu: Kiingereza ni lugha sio kipimo cha akili au mafanikio, Faida ya kumpeleka mapema mtoto shule ya kiingereza ni sawa na kukijua kiswahili mapema kwenye kijiji wanachoongea kisukuma
Nikiwa shuhuda mwenyewe, binafsi nimesoma shule ya english medium nami nimekuwa mkubwa najinyima kuwapeleka...
Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto.
Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani
Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza...
Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko?
Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii,
Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake?
Ataweza...
Habarini wadau,
Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama.
Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo.
Mtoto ana umri wa miaka 4 na ½
Naomba kuwakilisha
Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa ulimwenguni kama serikali ya CCM.
Katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4.
2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya ndani huwa hayafayi kabisa na tangu aajiriwe kajaribu mwaka Jana tu mwishoni baada ya taarifa zake...
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ameagiza kufungwa kwa Shule ya Msingi Kigulunde, iliyopo katika Kata ya Mtii, Tarafa ya Gonja kutokana na kutishia usalama na uhai wa wanafunzi pamoja na walimu wao.
Shule hiyo iliyojengwa mwaka 1975, licha ya kukabiliwa na uchakavu wa majengo yake...
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
bahari
beach
bei
eneo
eneo linauzwa
funga
gharama
karibu
kigamboni
kinauzwa
kituo
kivule
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
magari
makamba
malaika
mbezi
mwaka
shule
ukubwa
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao...
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu.
Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
Hii nimekuwa nikijiuliza sana, ukimsikiliza kiongozi yeyote hasa Mawaziri wa TAMISEMI wanajinasibu kuwa shule zote zimepokea pesa ya ukarabati na wanajinasibu kwa kudai kuwa hakuna shule ambayo haijapata pesa za kujenga madarasa mapya au kukarabati yaliyopo lakini kuna shule kongwe hazijawahi...
Baada ya picha ya madarasa ya Shule ya Msingi Magomeni ya Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kusambaa zikionesha uhaba wa Madawati na miundombinu chakavu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Chiza Marando amesema wanafahamu kuhusu changamoto hizo na kuna bajeti ya maboresho.
Marando...
Wiki mbili baada ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe kuzungumza na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kutaka kujua kwanini Shule ya Msingi Magomeni ina madarasa mawili yaliyojengwa kwa nguzo za miti na kuezekwa kwa nyasi, madarasa hayo sasa yamebomolewa.
Oktoba 27, 2023, Mwandishi wa Habari...
Baada ya JamiiForums.com kusambaza picha zinazoonesha muonekano wa Shule ya Msingi Kigulunde iliyopo Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro kutokuwa katika mazingira mazuri kutokana na uchakavu wa majengo, ufafanuzi umetolewa.
Andiko la kwanza hiki hapa -...
Hii ni tahadhari nawapa, kwa wazazi na wanafunzi kwa ujumla.
Ewe mzazi, usipoteze mamilioni kusomesha mtoto wako kwa uchungu na kwa jasho halafu akarudi nyumbani kukaanga chips na kuendesha bajaji.
Ewe mzazi, usiuze ng'ombe zako, usiuze ardhi yako, usifilisi biashara zako kwa ajili ya kupeleka...