KERO Kila mtoto anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1,500 (Shule ya Msingi Makabe)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
622
584
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.

Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.

Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000

Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.

Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.

Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.

Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.

Ahsante
 
Lipeni jambo dogo hilo sana mtihani anafanya mwanao kwa 1500 tu unakuja kulalamika, hizo mentality za ujamaa msipo ziacha utashindwa kuishi katika mfumo wa ubepari.
 
IFIKE mahala hili swala la elimu Bure liwe na muongozo unaofamihaka Kwa wananchi (wizara husika isichoke kutoa ufafanuzi)

Kiukweli walimu wanafanya jitihada kubwa sana kupandisha matokeo ya wanafunzi (watoto wetu) ila zinakwamishwa na siasa za Elimu Bure.

Hao wanaochampion Elimu Bure na mnawapelekea mashitaka mnawaona watoto wao huko??? Wao wanalipa mamilioni ya fedha Kwa ajili ya Elimu za watoto wao nyi mnapigia kelele TSH 3000.😡
 
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.

Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.

Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000

Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.

Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.

Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.

Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.

Ahsante
NDUGU N KWELI KABISA KABISA HAPO NIKO NA WEWE MAISHA MAGUMU LAKINI UKUMBUKE KABLA YA ELIMU BIRE TUMESOMA MAZINGIRA HAYA HAYA NA ZAIDI YA HAYA NDUGU HAKUNA ELIMU RAISI TUGENDE TWA KENYAAA ABANTU RUGANDA KOTEEE HAYA MALIPO YAPOOO

HAWA WALIMU WANACHOFANYA N KUHAMASISHA WATOTO WAPENDE SHULE
ASILIMIA 40 YA KAYUMBA WANAENSA SHULE ILI MRADI WAENDE WENGINE HICHAPWA ILI AENDE SHULE..SASA WALIMU WAMEANZJSHA HII MITIHANI HATA WALE WASIOLEWA WATASOMA

BINAFSI SINA KIPINGAMIZI NA HILI

SWALA.LA KUPIGA WATOTO AFISA ELIMU HUSIKA WA WILAYA TOKA UKO OFISINI KAONYE HAO WAPUUUZI

UNAMPIGA MTOTOO KISA AJAFANYA MTIHANI KISA MZAZI HANANHELAAA JUO N USHENZIANA USIO NA AKILI PAMBAVUUU KABISA...

MATATIZO YA WAZAZI USIYAAMISHIE KWA WATOTO KAMWEEE STUPID TEACHERS
 
Majirani zangu kila ijumaa mtoto anatakiwa aende na 1000 ya mtihani siku zingine 500 ya tuition
Kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba.

Mtoto asipoenda nayo anachapwa fimbo
Mwanangu wa darasa la 3 wanaenda na kila jmos swiming lessons ni 30,000, meals 5000 usafiri 2000......kusomesha sio utajiri ni mwoyo na kujitambua hi nchi haina huruma.
 
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.

Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.

Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000

Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.

Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.

Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.

Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.

Ahsante
NDUGU N KWELI KABISA KABISA HAPO NIKO NA WEWE MAISHA MAGUMU LAKINI UKUMBUKE KABLA YA ELIMU BIRE TUMESOMA MAZINGIRA HAYA HAYA NA ZAIDI YA HAYA NDUGU HAKUNA ELIMU RAISI TUGENDE TWA KENYAAA ABANTU RUGANDA KOTEEE HAYA MALIPO YAPOOO

HAWA WALIMU WANACHOFANYA N KUHAMASISHA WATOTO WAPENDE SHULE
ASILIMIA 40 YA KAYUMBA WANAENDA SHULE ILI MRADI WAENDE WENGINE HUCHAPWA ILI AENDE SHULE..SASA WALIMU WAMEANZJSHA HII MITIHANI HATA WALE WASIOELEWA WATASOMA

BINAFSI SINA KIPINGAMIZI NA HILI

SWALA.LA KUPIGA WATOTO AFISA ELIMU HUSIKA WA WILAYA TOKA UKO OFISINI KAONYE HAO WAPUUUZI

UNAMPIGA MTOTOO KISA AJAFANYA MTIHANI KISA MZAZI HANA HELAAA HUOO N USHENZIANA USIO NA AKILI PAMBAVUUU KABISA...

MATATIZO YA WAZAZI USIYAAMISHIE KWA WATOTO KAMWEEE STUPID TEACHERS
 
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali.

Hii imekua tofauti katika shule ya msingi Makabe ambapo kumeanzishwa mitihani ya kila weekend na kila weekend watoto wanatakiwa waende na pesa kwaajiri ya kufanya hiyo mitihani.

Kila mtoto mmoja anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1500 hivyo kama una watoto wawili kila kila wiki inabidi uandae Tshs 3000

Kwa mwingine Tshs 1500 ni pesa ndogo sana ila kuna mwingine hiyo pesa kwake ni kubwa sana mana unaweza kuta hana ajira ya kueleweka, sasa awaze kuitafutia familia walau mlo mmoja na wakati huo huo waalimu wanasubiri awapelekee hiyo 1500 kila wiki kwaajiri ya mitihani.

Serikali kupitia wizara husika naamini mpo humu na mtaluona hili andiko langu, naomba mtusaidie mana mtihani ni muhimu lakini hii ya kila wiki tena unatakiwa ulipie kiukweli inatuumiza baadhi yetu ambao hali zetu ni duni sana kwasasa.

Kibaya zaidi mtoto asipoenda kufanya hiyo mitihani weekend kwakukosa pesa Jumaatatu akienda shule wanampiga kwamba kwanini hakuenda.

Naamini serikali yetu ni sikivu sana itaenda kulifanyia kazi hili suala kwa haraka mana ni zaidi ta kero, wao walimu wana mishahara sasa wanadhani kwamba kila mtu anapokea mshahara.

Ahsante
Wewe ni mzazi au msimamizi wa mtoto hivi mtoto umemzaa mwenyew unataka apate walimu Bora halaf Bure kabisa kweli unategemea huyo mtoto atapata elimu Bora mkuu??? Watoto wanafundishwa Shuleni jion tuition lkn Bado Mimi kama mzazi nikipata muda Nampa maswali lkn Bado uwezo naona hauridhishi kabisa Tena Bora wewe unapata walimu wanatoa Kila wiki mitihani unashindwa kulipia 1500 Kwa wiki ??
 
Back
Top Bottom