shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Upigaji: Vigogo wa Shirika la Bima la Taifa wakabiliwa na mashitaka 365

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365 yakiwemo ya kughushi na kutakatisha fedha. Wakisomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu...
  2. K

    Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo. Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
  3. Huduma za Shirika la Posta Tanzania

    Habarini wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja. Juzi Ijumaa nilikuwa nataka kutuma Doc moja Mkoani ila kwa kuwa na confidential sana nikaona nisitume kwa basi kama ninavofanyaga mara nyingi. Nikaenda Posta lengo nitume kwa EMS na inahitajika J3. Cha kushangaza nikaambiwa itatumwa J3...
  4. FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  5. Shirika Ka Viwango Tanzania TBs Limewataka Wananchi kuachana Na Powder ya Johnson

    Shirika la Viwango Nchini (TBS) limewaelekeza wananchi kutoendelea kutumia bidhaa za Johnson’s Baby Powder zenye kiambato cha TALC toleo namba 22318 RB kutoka Kampuni ya Johnson & Johnson ya nchini Marekani inayodaiwa kuwa na madini yanayosababisha saratani. Katika taarifa yao iliyotolewa na...
  6. J

    Serikali yafanya mageuzi makubwa TTCL

    Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye...
  7. Nafasi Moja ya Kazi Kwenye Shirika la Ndege ni kwa Mwenye Vigezo Hivi

    Me sina cha kuongezea maana nasoma na kurudia kusoma, huyu mtu anayetakiwa hapa ni wa namna gani!.
  8. TTCL ni shirika la kwanza kufia mikononi mwa Waziri Nape Nnauye

    Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu! TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda...
  9. Waziri wa Wizara ya Ulinzi, Bashungwa azindua Bodi ya Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, Shughuli hiyo iliyofanyika Magadu Mess Mkoani Morogoro, ilihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Wizara, Makao Makuu ya Jeshi pamoja na...
  10. Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

    https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
  11. Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
  12. Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

    George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea. Lema ni agent wa shirika la...
  13. Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

    Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu. Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya. Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
  14. Hivi inakuaje shirika la Afya linaajiri waalimu kudeal na mambo ya Afya? ( client tracking)

    Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya...
  15. Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

    Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
  16. Kwanini hayati Magufuli hakupenda ushindani wa shirika la ndege la Fastjest dhidi ya ATCL?

    Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi. Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini. Akanunua ndege za kutisha lakini mpaka anafariki nauli hazishikiki. Kwanini hayati Magufuli...
  17. KLM waomba radhi kufuatia kuchapisha taarifa ya kuwa kuna Civil Unrest Nchini Tanzania

  18. Ripoti IMF: Mwaka 2023 utakuwa mgumu zaidi Kiuchumi kuliko 2022

    Kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia, 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa kiuchumi. Hii inatokana na vichocheo vikuu vya ukuaji wa uchumi kimataifa yaani Marekani, Ulaya na China, zinakabiliwa na kudhoofu amesema mkuu wa shirika la kimataifa la fedha (IMF) Jumapili. Mwaka mpya utakuwa mgumu zaidi...
  19. Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

    Saludo, Kila siku naendelea kumshukuru Mungu kwa mafanikio yangu ya kila siku haipiti siku bila kupata kitu ambacho kinanipa furaha maishani japo moment za huzuni zipo but all in all namshukuru mungu for everything. Hello niwatangazia umma au member wa jamii forums ya kwamba nimepata mchongo I...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…