shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways mbioni kufanya mgomo

    Imedaiwa mpango huo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo Novemba 3, 2022 baada ya mazungumzo ya wiki mbili baina ya pande mbili kutopata muafaka. Marubani wanataka warejeshewe mchango wa mafao yao ya kustaafu ambayo yalisimamishwa wakati wa kipindi cha UVIKO-19, wakati Shirika limeweka...
  2. Pfizer

    Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe, yupo Ethiopia

    Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Africa - WiLDAF

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF); Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF - Monica Mhoja Sheria ni nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko hasa ikitumiwa vizuri. Maombi ya Monica...
  4. S

    Shirika la kijasusi la Urusi lamtaja Mastermind wa shambulio la kigaidi la daraja la Crimea, pamoja na washirika wake 12; latoa details za tukio

    Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limemtaja gaidi namba 1 wa shambulizi la kigaidi lililofanywa na Ukraine kulipua daraja la Crimea. Gaidi huyo mkuu ni mkuu wa shirika la upelelezi la Ukraine Commander Kirill Budanov. Sambamba na gaidi huyo mkuu (mastermind), pia FSB imewataja watuhumiwa...
  5. The Sheriff

    Ni Muhimu kwa Kila Kampuni na Shirika Kuwa na Mkakati wa Kustahimili Changamoto za Teknolojia ya Digitali

    Tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali unaozidi kukua kwa kasi, lakini makampuni na mashirika mengi bado hayafahamu ni kwa kiwango gani yanategemea teknolojia ya digitali na changamoto ambazo wanaweza kukumbana nazo. Tunapoelekea katika siku zijazo ambazo tunazidi kuwa tegemezi kwa teknolojia...
  6. S

    Shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri.

    Niombe ajira shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri na wanatoa matangazo mara kwa mara ya procurement.
  7. Wakusoma 12

    Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

    Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa. Shirika hili za reli linatumia magari...
  8. Suzy Elias

    Rostam kuingia kwenye biashara ya anga Shirika letu litapona?

    Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga. Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania itapona kweli?! ====== Mfanyabiashara Rostam Aziz ameingia kwenye sekta ya usafiri wa anga baada...
  9. juniorsurveyor

    Natafuta Makampuni au mashirika yanayohitaji surveyor

    Nina uzoefu wa miaka mitatu katika taaluma hii,Natafuta makampuni au mashirika yanayohitaji huduma ya land and mine surveying. Nina uzoefu katika kazi zifuatazo; 1. Building surveying 2. Cadastral surveying 3. Road construction(engineering survering) 4. Civil 3D as Autocad 5. To operate total...
  10. JanguKamaJangu

    Shirika la Afya Duniani (WHO): Mwisho wa Ugonjwa wa COVID-19 unakaribia

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
  11. KISUNZU YP

    Mlioomba kazi shirika la Church World Service (CWS) tukutane hapa

    Habari wadau, Mimi ni miongoni mwa waliotupia kwenye nafasi zilizotangazwa za Caseworker n.k Naomba tupeane mbinu.
  12. DaudiAiko

    Je, shirika la TANESCO linapata faida inayo iwezesha kujiendesha?

    Wanabodi, Hizi ndiyo gharama halisi za kuunganishiwa umeme kwenye nyumba yako na TANESCO. Je haya yote ni ya kweli? na kama ni ya kweli, je shirika hili linapata faida ya kuiwezesha kujiendesha?
  13. DaudiAiko

    Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  14. KISUNZU YP

    MWENYE UELEWA NA SHIRIKA LA CWS

    Habari ndugu zangu, kama kichwa cha habari hapo juu naomba anayefahamu vzur shirika hili anifafanulie maana limetangaza baadhi ya post nataka nitupie. Nijue interview yao wanataka nini? Benefits( salary) Allowances N.k kama kuna mtu ameshapita au ana ndugu anifumbue macho
  15. Miss Zomboko

    Shirika la Bunge la Morocco lapendekeza wanawake kupewa likizo ya hedhi

    Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo. Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika, pendekezo la kikundi cha haki za kijamii cha shirika la Bunge la Morocco...
  16. DaudiAiko

    Shirika la Bima Ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika. Nini kimesababisha haya yote na hatua zipi zichukuliwe kutatua changamoto hii?

    Wanabodi, Serikali inatumia jitihada kubwa sana kujenga vituo vya afya na kuhakikisha kwamba huduma hizi zinawafikia wananchi katika sehemu tofauti tofauti. Nakubali kwamba kuna umuhimu wa kuwa na miundombinu nchini lakini hilo ni jambo la kwanza tu. kinacho fuata ni kuhakikisha kwamba wananchi...
  17. M

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  18. A

    Naomba kufahamishwa kama TAA imeshaita watu kwenye usaili

    Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
  19. Bushmaster

    SoC02 Serikali ianzishe Shirika la Umma la Usafirishaji wa abiria kwa njia ya barabara mikoani

    Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
  20. mirindimo

    TTCL shirika linalohujumiwa kiutendaji na siasa

    Kati ya mashirika yaliyotakiwa kua makubwa ni TTCL lakini unaweza kwenda pale kutaka huduma ukapatiwa huduma baada ya wiki 3 ama mwezi 1. Shirika limekua likihujumiwa kisiaasa watendaji wanaowekwa pale wako Political Oriented zaidi kuliko Business Oriented. Tukumbuke ndio shirika lenye mtandao...
Back
Top Bottom