shirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TRA iangalie gharama za kupitisha Parcel Posta, zinaua Shirika

    Kwa ajili ya kufufua shirika letu la posta Napendekeza kuwe na mfumo rahisi na unaoeleweka wa ukokotoaji wa gharama za kupitisha parcel ndogo ndogo mf: Mtu akiagiza simu moja kwa ajili ya matumizi alipie gharama za posta na 18% VAT kusiwe na gharama nyingine Kwa sasa unaweza...
  2. Mr SGR

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Shirika la Bureau Veritas

    Wana jamvi nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano bila shaka kazi zinaendelea! Juzi kati nimefanya interview na hawa jamaa wa Bureau Veritas kwa sasa nasubiri majibu ya hiyo interview. Ila naomba kwa anayejua mazingira yao ya kazi, pamoja na maslahi kwa wafanyakazi wao yapoje? Nawasilisha
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Kikao Maalum cha viongozi wa Shirika la Posta Tanzania

    UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022 Shirika la Posta linaendelea na kikao maalum cha tathimini ya utendaji Kazi kwa Shirika la Posta...
  4. Impimpi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Miradi ya nyumba nafuu za kiutamaduni na kiasilia itaimarisha utalii na pato kwa shirika la nyumba na real estates companies na Taifa kwa ujumla.

    Sio siri kuwa miradi mingi ya nyumba za makazi na biashara hushindwa kuliteka soko kwa Watanzania wengi hasa wa kipato cha chini na badala yake nyumba nyingi zimebaki tupu bila wapangaji ama wamiliki ( wanunuzi) kwani miradi hio hukosa uhalisia wa maisha ya watu wa chini. Makampuni hudhani kuwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Zainab Chaula: Tumieni Shirika la Posta kutoa huduma zenu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainabu Chaula, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazotoa huduma ya kiserikali kwa jamii. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 6 Julai 2021, huku kikihudhuriwa na Wakuu wa...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Shirika la reli uzeni mali zote ambazo hazitumiki mathalani Vyuma chakavu

    Nimepita maeneo mbalimbali nimejionea namna shirika la reli limekuwa likitunza mavyuma chakavu kama mabehewa mataruma na makaravati ambayo yamechakaa. Hivyo nashauri mali hizo ziuzwe kama malighafi kwa viwanda vyetu vya ndani vya kutengeneza material ya chuma (steal industry) ili tuweze kupata...
  7. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania NHIF inachangia kuua Huduma za Afya kwa kutolipa madeni ya Hospitali

    Shirika letu la Bima (NHIF) limechangia kuua Huduma za Afya katika kulipa Madai ya Hospitali zetu kwa kuchelewesha kulipa kwa wakati, ambapo hospitali zote nchini zimekuwa zikilamika kuchelewesha malipo hayo ili ziweze kununua dawa,vifaa tiba na kulipa uendeshaji wa hospitali NHIF imekuwa na...
  8. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu shirika la International Rescue Committee (IRC)

    Wakuu hope mko poa Naomba kujua hili shirika la international rescue committee (IRC) indeep, Lina-deal na kazi gani, na je wako fear kwenye kazi zao, Mwisho naomba kujua jinsi ya ku-create profile, nimejaribu naona ina ugumu Fulani. Sorry kwa badwritting, nimeazima smartphone
Back
Top Bottom